Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Umezuka mtindo ambao kwa sasa umekolea wa kuposti picha za utupu. Ningelipenda kuwakumbusha ndugu zangu kwamba,binadamu tunapita lakini hizo picha zitaishi daima. Kuja mbele ya media kusema wakusamehe haitosaidia zaidi ya kujizalilisha.
 
yaani mambo mengine ya ajabu sana sijui viumbe sie tupoje yaani inakera
 
Mungu hatupi roho mbaya,tunajipandikiza tu, wale ni vijana wakifungiwa utafaidi nini. Tunafanya sana mambo kama yale sema ni vile tunatunza siri.
 
Wametoa ngoma mpya nzuri na kali haijawai kutokea... wameonesha uhalisia hasa kwa kushuti video maeneo ya kimaskini (getoni) huku binti akiwa na nguo aina ya dera kubwa la zaman
 
Nchi yenye wajinga wengi Ni kawaida kutokea hayo
 
Ila mambo mengine ni ya kujitakia, kweli dunia ya Leo ni ya kujirekodi uko faragha na mpenzi wako tena unajijua ni staa? Mimi pamoja na kwamba sio staa huwezi ukanirekodi/kujirekodi tukiwa kwenye mambo hayo, kwanza najirekodi ili nimuonyeshe nani hayo mambo ya 'siri'? Huu ushamba wa smartphone utawacost sana

Mbona wewe umejirekodi unanyoa ndevu na upara mkuu....(avatar) hahaha
 
Watu na akili zetu tulikutaka ukatukataa ukaona umfate mhuni wa Kino. Haya sasa mambo hadharani. Lakini, mamaye wabongo mna majungu.
 
Waswahili tunapenda kuhukumu sana!

Dunia inatuona walah!
 
Licha ya aibu na ufedhuli wote uliotokea, anabaki kuwa mtoto kwa wazazi wake, wanaumia na kusononeka mno lakini ukweli uko pale pale, ni binti yao.
Ilaa kama mzazi ukiona ilee daah...
 
Back
Top Bottom