mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Umezuka mtindo ambao kwa sasa umekolea wa kuposti picha za utupu. Ningelipenda kuwakumbusha ndugu zangu kwamba,binadamu tunapita lakini hizo picha zitaishi daima. Kuja mbele ya media kusema wakusamehe haitosaidia zaidi ya kujizalilisha.