Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Mimi binafsi nimemuonea huruma na nmeshamsamehe tunajifunza kutokana na makosa.
 
HIVI KWANI NI WADADA TU WANADHALILIKA AU NI PAMOJA NA SISI MAKAKA PIA?
Aibu kwa Nandy billnass hapo anajiona shababii kweli kweli na tena ataanza kupata calls za akina dada kwa sana tu. Ushaona wapi mwanaume anadhalilika kwa kugonga? anayedhalilika ni yule anayegongwa ahahahahaa
 
Yani nandy hata me nlikuwa namheshimu sanaa na kumkubali ila hili daah.. Namuonea huruma kadhalilika sana
Yan mimi kuna ngoma yake ya "nikumbushe" sasa hivi siwezi kuisikia tena.. yaani kajishushia heshima zaidi ya anavyoweza kudhani
 
Back
Top Bottom