Mzalendowavita
Member
- May 13, 2017
- 96
- 37
Wakiambiwa wanasema hapana ni kazi kama kaz nyingineMuziki ni uhuni, mzazi mkanye mwanao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiambiwa wanasema hapana ni kazi kama kaz nyingineMuziki ni uhuni, mzazi mkanye mwanao
Kimsingi wengine ametufurahisha tumepata kavideo ka kustua misuli tukienda bafuniMi nimejipendekeza kumsamehe...
Maana hata hivyo, hajanikosea wala kumkosea mtu yeyote zaidi ya yeye mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Video ajirecord mwingine kudhalilika udhalilike wewe..
Hebu kwendeni zenu.
hapana aisee siwezi kuvumilia unapoitaja BANGI kwenye mambo yakijingajinga kama hayo! Bob mpaka anafariki uliwahi kuiona video yake ya ngono? katika picha kumi za Bob unaweza kuta moja tuu ndio havuti BANGI!Hayo ndo madhala ya kutembea na mvuta bangi
si kweli ila kuna wajingawajinga ndio huvuta BANGI na matokeo yake ndio hayo... lakini mvuta BANGI wa ukweli sifa yake kubwa ni heshima utulivu busara na kufikiri kabla ya kutenda!Wizara wamfungie, ili ajifunze wavuta bange sio watu wazuri
Ww lazima itakuwa umeshawahi kaa mbyStoo bora wangetafuta hata pagala moja hivi amazing
Wewe huvai chupi? Unavaa kimkanda? Hakikutekenyi?Huyu Nandy anavyovaaga magauni yake ya zembwela matilio chilimeni nkadhani ndo anaishia hapo kumbe hadi machupi anavaa matoleo ya old school mscheeew