Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Inawezekana walitaka kurekodi ili kujikumbushia.

Pengine kuna mtu jongoo hapandi mti mpaka apate kitu cha kupata kick, halafu hawataki kumuangalia mtu mwingine, wanataka kujiangalia wenyewe.

Wana haki ya kujirekodi, ila hawana haki ya kupoteza walivyojirekodi maana video zinaweza kufika mpaka machoni pa watoto wasiotakiwa kuona mambo ya wakubwa.

Kwangu, ana lawama za kuruhusu video kupotea, hana lawama za kuchukua video, hayo ni mambo binafsi.
Mkali wa slang ngumu upo?
 
hivi nyie mnaokandia chupi ya Nandi nyie mnavaaa zipi?? mnajua watanzania kwenye ishu za hivi kila mtu huonekana anacho kizuri zaidi. Mbona chupi yake nzuri tuu jamani. Hebu mkandieni tabia mbaya ya kujirekodi na kuwekewa madole ila CHUPI YAKE MUIACHE
Bila vidole uwa hamjiskii tafuta uzi wa Money Stuna,tena anasisitiza ingiza vyote vi 5.
 
hivi nyie mnaokandia chupi ya Nandi nyie mnavaaa zipi?? mnajua watanzania kwenye ishu za hivi kila mtu huonekana anacho kizuri zaidi. Mbona chupi yake nzuri tuu jamani. Hebu mkandieni tabia mbaya ya kujirekodi na kuwekewa madole ila CHUPI YAKE MUIACHE
Mm mwenyewe nimeshangaa baada ya kuiona hiyo chupi, ya kawaida tu aisee....alafu video yenyewe mmeikuza mno .
 
nia ya wao kujirekodi ili sisi tuwaone huo ndio ukweli
Kuomba radhi hakusaidii,kuiondoa Picha kwenye saver za mitandao wataona hadi wajukuu zake hii ndo chupi ya bibi yetu.
 
Sasa huyo nandy anamwambia mC pilipili kivuruge wakati yeye ndio kavurugwa kabisa,yeye ndio aliyerecord hiyo video akipigwa fingers na BillnASS.
 
30077142_619351825076563_8088867377782980608_n.jpg
 
Jamani kama wewe ni mtoto na bahati nzuri wazazi wako ni hai mjitahidi kutunza heshima zenu.na uaminifu .Watoto wanaumiza wazazi sana sana na sio mzazi wako tu mtu yeyote aliyezaa hategemei kuona uchafu huu kwa mtoto wake.Watoto mnaua wazazi.wenu acheni tabia za kichafu wazazi wengi siku hizi za karibu wanasumbuliwa na PRESSURE heart attack na wanakufa plz plz
Halafu eti usiku wa Nandy na Aslay jamaa kavaa dela kisa kuonyesha heshima kwa wazazi. Iko wapi hiyo heshima.tena?
 
Back
Top Bottom