Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Mnavujisha makusudi, mnaomba msamaha makusudi!! Ujinga
 
Kama Ruge asingefariki akafanikiwa kumuoa Nandy basi angekuwa ameoa mke wa mtu. Hawa watu (Billnas na Nandy) walianza mahusiano kitambo sana so ingekuwa ngumu kuwatenganisha.
 
Back
Top Bottom