Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

et anaomba radhi!!ya nn sasa ameshaliwa kameliwa kinoma hadi vidole ..na kameji recod ye apambane na hali yake
 
Bwana Ruge, atakoma kutembea na watoto wadogo, anatakiwa ajue yeye ni MTU mzima aachane na watoto wadogo


Ruge gani, huyu huyu anayesema eti mtu uzeeka ila dushe halizeeki kamwe? Kama ni yeye haiwezekani aachane na watoto wasiojitambua....atawashikisha adabu tu.
 
Kwn ni kipi cha ajabu mkuu? ni kushikwa makalio na mpenz wake ama ni kuvujisha video??
 
kweli nyumbani kumenoga [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Daahhh...unbelievable ..kua kioo cha jamii ni kazi kubwa sana
 
Tatizo halipo kwa huyo binti bali lipo kwa mashabiki.....
Mashabiki hawajui kutofautisha muziki na maisha binafsi ya mwanamuziki......nje ya muziki na yeye ni mwanadamu kama mimi na wewe........

Ingekuwa vyema kama mashabiki wa muziki wangejikita zaidi kwenye kazi za wasanii na kuwaachia maisha yao binafsi wasanii....
 
ngojen kwanza nirud nyumban ndo tuendelee naskia kumenoga
 
Fuatilia vizuri bob wengi walimuona kama kichaa ila alibarikiwa kuandika meseji nzito kwenye nyimbo zake hata Nyerere aikuwa ana m term Bob mhuni
Kweli broo..lakini alisimamia alichokiamini..Bob alikua real
 
Halafu hapo inaonyesha alitoka ‘kutafunwa’ walikuwa ‘half time’ wanapooza koo na tupicha..!
Ila jamaa atakuwa kakifaidi ‘0713’ kisawa sawa,maana mkono ulikuwa haubanduki kwenye ‘ringi’
 
Back
Top Bottom