Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Khaaa hasara ya kudate wahuni,lazima wakudhalilishe kama hivi,ila Nandy ukome bibie wa kiranga alaliwi matanga mfyuuu video umeirekodi mwenyewe hata ujitetee ni 2016!
Aibu ya mwezi. Ametumia 2016 kama excuse tu, kwani wimbo wake wa sina jambo ni wa 2016! Maana nimeusikia kwenye background ya huo uchafu wao[emoji36]
 
Mi ilinitoa nishai so nimeshaigopa
One step at a time, ulizidisha, Obama haijawahi kumuaibisha, hapa nchini ni remedy ya state figures you wont believe, kuwa mlevi wa chochote ndio tatizo kwahiyo rekebisha sentensi yako "mlevi wa" na sio "mvuta/mtumiaji"
 
Screenshot_2018-04-12-18-30-46.png

Leo kitaa cha mastaa wa Tanzania kilichafuka na bado kinaendelea kuchafuka...
Kuna video ambayo inamuonesha bibie nandy akiwa na msanii mwenzake bilnas wakiwa kitandani huku yeye bibie akipapaswa makalio...

Baadae Nandy anakuja kuomba radhi kwa mashabiki zake, mama, ndugu na serikali, huku akidai kuwa video ni ya mwaka 2016..

Ndani ya video kuna nyimbo ya bilnas ya SINAJAMBO ikipigwa, sasa cha kujiuliza ni kuwa nyimbo imetoka 2017 na video anatuambia ni ya mwaka 2016.. huku hiyo nyimbo ikisikika kwenye video

Au ndio kuchanganyikiwa kwake kunafanya kusahau mwaka ambao amerekodi hiyo video
 
One step at a time, ulizidisha, Obama haijawahi kumuaibisha, hapa nchini ni remedy ya state figures you wont believe, kuwa mlevi wa chochote ndio tatizo kwahiyo rekebisha sentensi yako "mlevi wa" na sio "mvuta/mtumiaji"
Kuna watu wakitumia busara inaongezeka ila wengi wakitumia wanakuwa mandez
 
Mimi nyimbo zake zote za nandy nimezifuta kwa namna alivonitia kichefuchefu
 
Akili uliyozaliwa nayo ndio ifanyayo kazi haijalishi umetumia catalyst gani, pombe au vingine, kinachofanyika ni kuondoa aibu/uoga kuexecute whatever you planned or had in mind kabla hata ya kutumia
 
Back
Top Bottom