Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Ngazi anayopandia mwanamke (some) mpaka afike kileleni, ina misumari na miiba mikali ambayo mguu wa mtt wa kiume hauwezi ikanyaga na kustahimili.
 
Khaaa hasara ya kudate wahuni,lazima wakudhalilishe kama hivi,ila Nandy ukome bibie wa kiranga alaliwi matanga mfyuuu video umeirekodi mwenyewe hata ujitetee ni 2016!
Uhuni Upi? Si Amejirekodi Mwenyewe?
 
Msamaha nampa ila atanunu chupi mpya...chupi lastiki imeisha kabisa,ama kweli wasanii wa bongo njaa bora angefunga hata na pini [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom