PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji106]Tatizo lingine hawajaandaliwa kuu-handle umaarufu akitoa nyimbo ikabamba ndio unakua mwanzo wa safari yake ya umaarufu na kukutana na marafiki wapya ambao kigezo cha msingi cha kukutana ni music na taasinia zingine (wenyewe hujiita Stars) hivyo mienendo mingine ya kitabia inafuata tofauti na kitaa kunakuwa na bond flani hivi inatokea automatic alafu mengine ndio yanafuata. Wengi wa watu hawa ni wale wanaachana kabisa na marafiki wao wa zamani na kujiunga na ma-star wenzake na kujikuta taratibu wana lost
Uko sahihi kabisa mkuu.