Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Sasa huyo naye lengo la kuji'record ni nini ??!!!

Dada zetu wenye tabia hizi mnafeli sana aisee...!!!
 
Hiv hawa wasanii wanamapepo muda mwengne enhee? hawajui kama kuna familia wazaz wanaona huo upuuzi?
 
Wadau mbona hiyo video hawa sex...? N video ya kawaida sanaa... nilidhan wame record video ya sex kbsaa.. kumbe wanashikana shikana tu kama kwareeeee
 
yani nandy nimemvua vyote vyote yule mtoto........kusex sio shida lkn kufanya huo ujinga huku mkiwa mnajirecord daaaahhhh[emoji849]
 
Nimeona video huko whtsap ikabidi niulize nkaambiwa ndio wasanii
 
Back
Top Bottom