Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Hata Mimi pia imenisikitisha sana. Nilikua namuona nandy kama big brand kwa upande wa wasanii wa kike.lakini kwa hii clip seriously I have been heart broken .natamani aje hata akanushe tu kuwa huyo sio yeye ili roho yangu iridhike
 
Star anashindwa kununua hata chup nzuri, yenye kuvutia?? Jamani mama zetu anzeni kuwafunda tena hawa watoto, chumba kichafu kama dampo, na kwahiyo chup tu mi hamu ingekata kabisa, ukijua unaenda kutoa mchezo unajiandaa, vaa hata nyeupe na tumaua twa kuvutia, ee mama!!! Hata jamaa anaonekana hajainjoi chochote, warudisheni Somo mabinti wajifunze usafi sio kujiparamua ma make up tu, na hicho chumba lazima kinatoa harufu ka choo ya walevi
 
siwalikuwa wanasema eti icho kidemu kinaliwa na Aslay yule wa yamoto?
 
Vijana ustaa wa bongo unawazuzua,ngoja waendelee kusambaziana upupu.
Tatizo lingine hawajaandaliwa kuu-handle umaarufu akitoa nyimbo ikabamba ndio unakua mwanzo wa safari yake ya umaarufu na kukutana na marafiki wapya ambao kigezo cha msingi cha kukutana ni music na taasinia zingine (wenyewe hujiita Stars) hivyo mienendo mingine ya kitabia inafuata tofauti na kitaa kunakuwa na bond flani hivi inatokea automatic alafu mengine ndio yanafuata. Wengi wa watu hawa ni wale wanaachana kabisa na marafiki wao wa zamani na kujiunga na ma-star wenzake na kujikuta taratibu wana lost
 
Nimeumia sana labda alibwia unga
Jamani kama wewe ni mtoto na bahati nzuri wazazi wako ni hai mjitahidi kutunza heshima zenu.na uaminifu .Watoto wanaumiza wazazi sana sana na sio mzazi wako tu mtu yeyote aliyezaa hategemei kuona uchafu huu kwa mtoto wake.Watoto mnaua wazazi.wenu acheni tabia za kichafu wazazi wengi siku hizi za karibu wanasumbuliwa na PRESSURE heart attack na wanakufa plz plz
 
Back
Top Bottom