Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

basi watu wanavyo liponda gheto unaweza hisi wao wanaishi sehemu bora zaidi. humu zaidi ya 50% hatuna ghetto kama ilo. wengine bado wanalala kwenye deka za chuo nao wanadhihaki ghetto.

heshima ya nandi kwishaaaa
Sisi sio 'mastaa' kama wao, so hata tukilala chooni sio ishu[emoji1]
 
Nnachoshindwa kupata jibu ni nani aliyerikisha hii video, Nandy/Billnas? Na kwa manufaa gani?
 
Video yake ya faragha, kama imevujishwa bila yeye kutaka, anachoombea msamaha nikipi sasa?

Ukishakubali kupiga hizi video, inabidi ukubali kwamba kuna siku zinawezakuvuja na zikivuja utakuwa poa tu.

Wasanii wana mambo sana mkuu, nnachojiuliza, yeye na huyo jamaa yake tayari wanajua walichokua wanakifanya.
Kama hawakuwa na haja ya mtu mwingine nje ya wao kujua mambo yao ya faragha, haikutakiwa kurekodi kabisa.

Unapokubali kurekodi ni kukubali madhara au chochote kitakachotokea kutokana na hizo picha.
 
Inawezekana walitaka kurekodi ili kujikumbushia.

Pengine kuna mtu jongoo hapandi mti mpaka apate kitu cha kupata kick, halafu hawataki kumuangalia mtu mwingine, wanataka kujiangalia wenyewe.

Wana haki ya kujirekodi, ila hawana haki ya kupoteza walivyojirekodi maana video zinaweza kufika mpaka machoni pa watoto wasiotakiwa kuona mambo ya wakubwa.

Kwangu, ana lawama za kuruhusu video kupotea, hana lawama za kuchukua video, hayo ni mambo binafsi.
 
Inawezekana walitaka kurekodiili kujikumbushia.

Pengine kuna mtu jongoohapandi mti mpaka apate kitu cha kupata kick, halafu hawataki kumuangalia mtu mwingine, wanataka kujiangalia wenyewe.

Wana haki ya kujirekodi, ila hawana haki ya kupoteza walivyojirekodi maana video zinaweza kufika mpaka machoni pa watoto wasiotakiwa kuona mambo ya wakubwa.

Kwangu, ana lawama za kuruhusu video kupotea, hana lawama za kuchukua video, hayo ni mambo binafsi.

Mkuu nakuelewa kabisa, ilakwangu sera ziko tofauti kabisa. No video, kinachoshangaza wote wawili kila mmoja ana simu yake ikimaanisha kila mmoja alijichukua video au picha.

Binadamu ndio tunajua privacy, simu na vifaa vingine vyenyewe vinafuata maelekezo tunavyoviamuru, basi.
 
Hayo ndo madhala ya kutembea na mvuta bangi
Tafadhali bange iheshimiwe !
images.jpeg
 
Nandy ndo kavujisha kwa makusudi hii video ili aachane na utumwa wa kugongwa bure na ruge...huyu ni mtumwa wa ngono wa ruge. Kafanya makusudi ili awe huru...!!!
 
Aise nandi ni mtumiaji wa mtandao pendwa idadi inazidi kwa kasi na tunao sababisha ni wanaume wenyewe.
 
simu yako hikiwa mbovu ukapeleka kwa fundi tegemea picha zako rahaa kukuta mitandaoni
 
Ndo maana diamond na Alikiba wanazidi kukaa juu siku zote .

Darassa alikuja Mara ghafra ngada ikampoteza
Nandi na bilnass mmeshapotea ivyo mashabiki washawaona kama wajinga.
 
Back
Top Bottom