Monseur JF-Expert Member Joined Dec 5, 2016 Posts 655 Reaction score 525 Apr 15, 2018 #361 7ve said: Aise nandi ni mtumiaji wa mtandao pendwa idadi inazidi kwa kasi na tunao sababisha ni wanaume wenyewe. Click to expand... Una ushahidi gani, Kama ni mwanachama wa 0713
7ve said: Aise nandi ni mtumiaji wa mtandao pendwa idadi inazidi kwa kasi na tunao sababisha ni wanaume wenyewe. Click to expand... Una ushahidi gani, Kama ni mwanachama wa 0713
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Apr 16, 2018 #362 Jeiefu said: Ndo maana nakupendaga Click to expand... Asante mamii
Jumong S JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 7,385 Reaction score 10,659 Apr 16, 2018 #363 Mnavujisha makusudi, mnaomba msamaha makusudi!! Ujinga
fofre JF-Expert Member Joined Nov 16, 2016 Posts 805 Reaction score 1,307 Oct 30, 2024 #364 Chinga One said: Pigo jingine kwa bwana Ruge Mutahaba....hahaha tutegemee Bill Nenga na Nandy muziki wao kutoskika tena CMG... Click to expand... nini..
Chinga One said: Pigo jingine kwa bwana Ruge Mutahaba....hahaha tutegemee Bill Nenga na Nandy muziki wao kutoskika tena CMG... Click to expand... nini..
Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Oct 30, 2024 #365 Kama Ruge asingefariki akafanikiwa kumuoa Nandy basi angekuwa ameoa mke wa mtu. Hawa watu (Billnas na Nandy) walianza mahusiano kitambo sana so ingekuwa ngumu kuwatenganisha.
Kama Ruge asingefariki akafanikiwa kumuoa Nandy basi angekuwa ameoa mke wa mtu. Hawa watu (Billnas na Nandy) walianza mahusiano kitambo sana so ingekuwa ngumu kuwatenganisha.