Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Msanii Nandy aomba radhi baada ya video yake ya faragha akiwa na Billnass kusambaa mitandaoni. BASATA wamtetea

Mwanamke ukishaanza kupost picha na videos za uchi, huwa ni doa la maisha yako yote.

Jambo hili linaweza kukukosesha hata watu maalumu wa faida maishani mwako.
Si kweli maneno yako hata siku moja usi generalize mambo!
Kim Kardashian ndiyo iliyo mtoa!
Siupendi huo uchafu wa kujirekodi lakini naona wasanii wengi wa kike wanajaribu kutumia kick hiyo kutokea!

Hii industry ya mabishow ni hovyo kabisa!
 
Scale post: 26652792 said:
Chunga meno usijebaki kibogoyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaaa mkuu ntavaa element wakati nakichukua hicho kideo.nimeeka pochi na nguo mlangon standby
 
Ukiitazama hiyo video ni wazi Nandy ndo alikuwa anarekodi. Pia alikuwa anafurahia. Ni uamuzi wao wote
 
Mashabiki, hivi ka ka-anda wea ka Nandy kakipigwa mnada si mtanunua kwa hela nzuri eenh?!!
 
Hapana she is an angel na makuzi yana mengi... Amepitia atakayokuja kuyasimulia na amejifunza though in hard way nini maana ya kuwa faraghani na mtu asiyejitambua
Acha kulinganisha angels na upumbavu
 
Kwa hiyo hata mtoto atakuja kushuhudia jinsi mama yake alivyokuwa mtata kwenye mambo ya pornography.
Imenikumbusha kipindi kile cha boke wa clouds alivyokunwa live akiwa big bro....
 
Kwa video hii tayari nimekuwa shabiki wa Nandy na hana haja ya kuniomba msamaaha chakufanya ni kurecord nyingine tena.
 
Wasanii wachache sana ambao wamepata umaarufu lakini haukuwavuruga akili, majority wamepotezwa na umaarufu na kuishia kwenye pombe, bangi na madawa ya kulevya au kufanya mavitu ya ajabu ambayo uwaangusha kisanii na kufanya watokomee kabisa katika ramani ya Sanaa mfano:

1. Mr. Nice
2. Ray C
3. Chid Benz
4. TID
5. Maunda Zorro
6. Langa (RIP)
7. Ngweah (RIP)
8. Geez Mabovu (RIP)
9. Lord Eyes
10. Darasa
11. Nandy
 
Wapuuzi wanatuchezea akili, wajirekodi , wajipost kisha waombe radhi.
 
huyu mtoto alikuwa anataka umaarufu wa kijinga mno, yaani nilikuwa napenda kanavyoimba ila kwa sasa naanza kukapoteza kabisa, yaani kana tafuta kiki za kina Ggigy money
 
Back
Top Bottom