Msanii Nash MC afanikiwa kukamilisha zoezi lake la kushoot video ya wimbo wake mpya uitwao wasanii

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
Wimbo huo unaelezea ubabaishaji na usanii unaoendelea kwenye industry ya mziki na siasa,Nash amekuwa ni msanii pekee wa hiphop mwenye itikadi kali na kusimamia misingi kwa muda mre
fu sana, bila shaka itakuwa video nzuri sana,peruzi picha za zoezi lake hapo chini

IMG_20180331_174419_771.JPG
IMG_20180331_174355_622.JPG
IMG_20180331_174332_536.JPG
IMG_20180331_174316_702.JPG
IMG_20180331_174259_213.JPG
 
Hip hope anayofanya Nash Mc imepitwa na wakati....yeye anapenda kujiona kama anaijuwa hip hope sana kumbe bado sana ....yaani Nyimbo zake zote hakuna nyimbo inayoweza kufikia nyimbo za 2pack kama dear Mama..... Namshauri nash Mc amtumikie Allah ...mziki awez tena
 
hakuna kitu huyo! alafu sijuagi kwa nn wasanii wa aina hyo huwa wanakuwaga na wivu sana.
hana wimbo mzuri hata mmoja
 
Hip hope anayofanya Nash Mc imepitwa na wakati....yeye anapenda kujiona kama anaijuwa hip hope sana kumbe bado sana ....yaani Nyimbo zake zote hakuna nyimbo inayoweza kufikia nyimbo za 2pack kama dear Mama..... Namshauri nash Mc amtumikie Allah ...mziki awez tena
Kwa nini watu wengi mnalalamika kwamba jamaa ni mjuaji??
 
Hip hope anayofanya Nash Mc imepitwa na wakati....yeye anapenda kujiona kama anaijuwa hip hope sana kumbe bado sana ....yaani Nyimbo zake zote hakuna nyimbo inayoweza kufikia nyimbo za 2pack kama dear Mama..... Namshauri nash Mc amtumikie Allah ...mziki awez tena

"2pack"..Duuh!
 
Enzi zile hip hop ilikua kama dini lazma ufuate misingi yake lkn sio skuiz ipo kibiashara mwambie abadilike ata fid q skuiz anakata viuno
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitamwambia bwana
 
Back
Top Bottom