Msanii Nash MC afanikiwa kukamilisha zoezi lake la kushoot video ya wimbo wake mpya uitwao wasanii

Aafu video yenyewe anafanyia maeneo ya nyumbani kwao. Maeneo hayo ndio maskani yao ilipo pande fulani za temeke mwembeyanga yanapopaki magari ya mabovu ya mizigo.
 
Hiv nash bado anakaa temeke
 
Nash namkubali sana anavyojichanganya haswa mkiwa nae maskani pale madege uwanjani au kwenye kijiwe cha kahawa pale
Mhh palepale Madenge ndo maskani kwao na yupo kila siku pale kwa yule mama muuza uji wa mchele wakiwa pamoja na yule mchiz wa ze komedy ya Eatv
 
Back
Top Bottom