Msanii Nash MC afanikiwa kukamilisha zoezi lake la kushoot video ya wimbo wake mpya uitwao wasanii

Hata jogging zimeanzia hayo maeneo, kuna jogging clubs nyingi sana hiko kipande mfano white horse, Kata 14, Dar jogging n.k wako vizuri ofcoz

Hivi Young Tuso yupo???? Sijamuona temeke Muda mrefu Sana???
 
Hata jogging zimeanzia hayo maeneo, kuna jogging clubs nyingi sana hiko kipande mfano white horse, Kata 14, Dar jogging n.k wako vizuri ofcoz
Nikweli kabisa utakuta kila jumapili wanakimbiaa mpaka uwanja wa taifa na kule zinakutana vikundi mbalimbali na kufanya mazoezi pamoja
 
Ndo mimi mkuu,biti gani unaielewa sana
Beat ya one - the incredible ni moto wa kuotea mbali.

Pia beat ya playboy ya Nikki Mbishi sio ya sayari hii.

Ubovu wa beats anazotumia Nikki sasa hivi ndio unaosababisha ashindwe kuhit the market!

Beats matter!
 
Hahahaha na wewe inaonekana ndo mchezo wako...sehemu nyingine pale kwenye matairi uwanjani raha sana ukiwa unapata kahawa na kashata
Aafu mnajifanyaga kusoma magazeti pale pembeni wauza miwa pale kati yule maza muuza uji, basi mnauwa winga tu. Huku mkifuatilia ligi ya mchangani mdogomdogo
aisee kumbe ni washkaji wa kitaani nyinyi
mimi naishi hapa mtaa PAZI kalibu kabisa na AL HIKIMA hayo maeneo yangu kabisa TEMEKE kumetulia sana mitaa hiyo tangunimehamia toka KINONDONI burudani sana mitaa hii
 
Karibu sana TEMEKE mkuu, vijana huwa wanapaita maandishi matatu. Wewe ndo jirani yangu kabisaaa! me pia niko hapahapa around AL-HIKMA huu upande wa geti la kulia, Mtaa wa LIWALE hapa wanapojenga apartment ambayo ndo inamaliziwa, kuna maza hapo nje anauza mihogo ya kukaanga anaitwa MAMA DULLAH, ndio navusha asubuhi yangu hapo kabla sijaingia mihangaikoni
 
Una biashara gani
 
Back
Top Bottom