Msanii Nash MC afanikiwa kukamilisha zoezi lake la kushoot video ya wimbo wake mpya uitwao wasanii

Mhh palepale Madenge ndo maskani kwao na yupo kila siku pale kwa yule mama muuza uji wa mchele wakiwa pamoja na yule mchiz wa ze komedy ya Eatv
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hip hope anayofanya Nash Mc imepitwa na wakati....yeye anapenda kujiona kama anaijuwa hip hope sana kumbe bado sana ....yaani Nyimbo zake zote hakuna nyimbo inayoweza kufikia nyimbo za 2pack kama dear Mama..... Namshauri nash Mc amtumikie Allah ...mziki awez tena
Kwahyo ukifeli mziki ndio umtumikie Mungu?
 
Mhh palepale Madenge ndo maskani kwao na yupo kila siku pale kwa yule mama muuza uji wa mchele wakiwa pamoja na yule mchiz wa ze komedy ya Eatv
Mimi huwa naona nae katika kijiwe cha kahawa kwa mzee maganga hapa karibu na mashine ya kusaga nafaka na pale Good hope
 
Bado yupo ila amehama maeneo ya kata 14...huwa nakunywa nae kahawa kwenye kijiwe karibu na ilipokuwepo luxury pub
Aafu mnajifanyaga kusoma magazeti pale pembeni wauza miwa pale kati yule maza muuza uji, basi mnauwa winga tu. Huku mkifuatilia ligi ya mchangani mdogomdogo
 
Hahahaha na wewe inaonekana ndo mchezo wako...sehemu nyingine pale kwenye matairi uwanjani raha sana ukiwa unapata kahawa na kashata
 
Yah yale ni miongoni mwa maeneo tulivu sana yanayo akisi maisha ya watanzania wa kiwango cha kawaida. Temeke ni uswazi pure nayaelewa sana hayo maeneo
 
Nas ameyaelezea vizuri kwenye nyimbo yake inaitwa Temeke...Temeke is my Hometown kuna ka amani flani hivi ukiwa TMK
 
Back
Top Bottom