Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
- Thread starter
-
- #41
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mhh palepale Madenge ndo maskani kwao na yupo kila siku pale kwa yule mama muuza uji wa mchele wakiwa pamoja na yule mchiz wa ze komedy ya Eatv
Hiv bado anakaa kwa wazazi???Nash namkubali sana anavyojichanganya haswa mkiwa nae maskani pale madege uwanjani au kwenye kijiwe cha kahawa pale
Kwahyo ukifeli mziki ndio umtumikie Mungu?Hip hope anayofanya Nash Mc imepitwa na wakati....yeye anapenda kujiona kama anaijuwa hip hope sana kumbe bado sana ....yaani Nyimbo zake zote hakuna nyimbo inayoweza kufikia nyimbo za 2pack kama dear Mama..... Namshauri nash Mc amtumikie Allah ...mziki awez tena
wew ni duke wa singeli nini mbna maswali haya unamvunjia heshima MAALIM?Hiv bado anakaa kwa wazazi???
Daah, mimi mwenyewe nashangaa hapa duke gani uyu asiemjua nash au ni nash mwenyewe anazingua hapa na maswali ya ajabu.wew ni duke wa singeli nini mbna maswali haya unamvunjia heshima MAALIM?
Kiingereza anakijua?Kweli huwa hatumii kiingereza kwenye nyimbo zake
Aisee.....Daah, mimi mwenyewe nashangaa hapa duke gani uyu asiemjua nash au ni nash mwenyewe anazingua hapa na maswali ya ajabu.
Hapana, Nash ameoa na ana watoto 2Hiv bado anakaa kwa wazazi???
Sidhani maana huwa anakichukia nadhani alifeli shuleKiingereza anakijua?
Mimi huwa naona nae katika kijiwe cha kahawa kwa mzee maganga hapa karibu na mashine ya kusaga nafaka na pale Good hopeMhh palepale Madenge ndo maskani kwao na yupo kila siku pale kwa yule mama muuza uji wa mchele wakiwa pamoja na yule mchiz wa ze komedy ya Eatv
Amepanga au ya kwakeHapana, Nash ameoa na ana watoto 2
Huyu sio Duke wa M lab a.k.a Babaa Nendezewew ni duke wa singeli nini mbna maswali haya unamvunjia heshima MAALIM?
Anakijua maana kapita shule pia pale Benjamini mkapa High schoolKiingereza anakijua?
Unasema?????Huyu sio Duke wa M lab a.k.a Babaa Nendeze
Haapo ndo sijui mkuuAmepanga au ya kwake
Wewe sio Duke bana hahaha father christmasUnasema?????
Aafu mnajifanyaga kusoma magazeti pale pembeni wauza miwa pale kati yule maza muuza uji, basi mnauwa winga tu. Huku mkifuatilia ligi ya mchangani mdogomdogoBado yupo ila amehama maeneo ya kata 14...huwa nakunywa nae kahawa kwenye kijiwe karibu na ilipokuwepo luxury pub
Hahahaha na wewe inaonekana ndo mchezo wako...sehemu nyingine pale kwenye matairi uwanjani raha sana ukiwa unapata kahawa na kashataAafu mnajifanyaga kusoma magazeti pale pembeni wauza miwa pale kati yule maza muuza uji, basi mnauwa winga tu. Huku mkifuatilia ligi ya mchangani mdogomdogo
Yah yale ni miongoni mwa maeneo tulivu sana yanayo akisi maisha ya watanzania wa kiwango cha kawaida. Temeke ni uswazi pure nayaelewa sana hayo maeneoHahahaha na wewe inaonekana ndo mchezo wako...sehemu nyingine pale kwenye matairi uwanjani raha sana ukiwa unapata kahawa na kashata
Nas ameyaelezea vizuri kwenye nyimbo yake inaitwa Temeke...Temeke is my Hometown kuna ka amani flani hivi ukiwa TMKYah yale ni miongoni mwa maeneo tulivu sana yanayo akisi maisha ya watanzania wa kiwango cha kawaida. Temeke ni uswazi pure nayaelewa sana hayo maeneo