Hata jogging zimeanzia hayo maeneo, kuna jogging clubs nyingi sana hiko kipande mfano white horse, Kata 14, Dar jogging n.k wako vizuri ofcozNas ameyaelezea vizuri kwenye nyimbo yake inaitwa Temeke...Temeke is my Hometown kuna ka amani flani hivi ukiwa TMK
Hata jogging zimeanzia hayo maeneo, kuna jogging clubs nyingi sana hiko kipande mfano white horse, Kata 14, Dar jogging n.k wako vizuri ofcoz
Nikweli kabisa utakuta kila jumapili wanakimbiaa mpaka uwanja wa taifa na kule zinakutana vikundi mbalimbali na kufanya mazoezi pamojaHata jogging zimeanzia hayo maeneo, kuna jogging clubs nyingi sana hiko kipande mfano white horse, Kata 14, Dar jogging n.k wako vizuri ofcoz
Sijui hata kama anaishi TemekeHivi Young Tuso yupo???? Sijamuona temeke Muda mrefu Sana???
Sindo yule anakaa mtoni kwa.aziz ali?Hivi Young Tuso yupo???? Sijamuona temeke Muda mrefu Sana???
Yeye mwenyewe anajiita The real Duke..Pitia post zake apo juu kidogo .Huyu sio Duke wa M lab a.k.a Babaa Nendeze
Ndo huyo, yeye ndo mfalme wa temekeSindo yule anakaa mtoni kwa.aziz ali?
Sio Duke Gervalius huyuYeye mwenyewe anajiita The real Duke..Pitia post zake apo juu kidogo .
Hana ufalme wa Temeke...huo ufalme kwa track gani kali?Ndo huyo, yeye ndo mfalme wa temeke
Beat ya one - the incredible ni moto wa kuotea mbali.Ndo mimi mkuu,biti gani unaielewa sana
Hahahaha na wewe inaonekana ndo mchezo wako...sehemu nyingine pale kwenye matairi uwanjani raha sana ukiwa unapata kahawa na kashata
aisee kumbe ni washkaji wa kitaani nyinyiAafu mnajifanyaga kusoma magazeti pale pembeni wauza miwa pale kati yule maza muuza uji, basi mnauwa winga tu. Huku mkifuatilia ligi ya mchangani mdogomdogo
Karibu sana TEMEKE mkuu, vijana huwa wanapaita maandishi matatu. Wewe ndo jirani yangu kabisaaa! me pia niko hapahapa around AL-HIKMA huu upande wa geti la kulia, Mtaa wa LIWALE hapa wanapojenga apartment ambayo ndo inamaliziwa, kuna maza hapo nje anauza mihogo ya kukaanga anaitwa MAMA DULLAH, ndio navusha asubuhi yangu hapo kabla sijaingia mihangaikoniaisee kumbe ni washkaji wa kitaani nyinyi
mimi naishi hapa mtaa PAZI kalibu kabisa na AL HIKIMA hayo maeneo yangu kabisa TEMEKE kumetulia sana mitaa hiyo tangunimehamia toka KINONDONI burudani sana mitaa hii
Hujakosea kumwita hivyoMimi huwa napenda kumwita Arrogant Nash..!
Una biashara ganiKaribu sana TEMEKE mkuu, vijana huwa wanapaita maandishi matatu. Wewe ndo jirani yangu kabisaaa! me pia niko hapahapa around AL-HIKMA huu upande wa geti la kulia, Mtaa wa LIWALE hapa wanapojenga apartment ambayo ndo inamaliziwa, kuna maza hapo nje anauza mihogo ya kukaanga anaitwa MAMA DULLAH, ndio navusha asubuhi yangu hapo kabla sijaingia mihangaikoni
Hahaa!!!!!!! Kama kawaida yake nash, ugonjwa wa kuichukia clouds unamtafuna sanaHuu wimbo bila shaka utakua ni wakuwananga watu flani kwavile wamefanikiwa kutokana na jinsi wanavyoimba.
Lakini jina lake kuna kiingereza ndani yake MC,...Na ngoma utaigonga kigumu ki Gangstar...Kweli huwa hatumii kiingereza kwenye nyimbo zake
Baadhi ya nyimbo zake chache ametumia kizunguLakini jina lake kuna kiingereza ndani yake MC,...Na ngoma utaigonga kigumu ki Gangstar...
Na kurecord huwa ni bei gani kaka mkubwa, yaani studio sessionKama kawaida tunapiga mule mule