Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Nash Mc ni miongoni mwa wasanii top 3 ya Hiphop bongo ninao wakubali nakufuatilia kazi zao zote wanazozifanya.
Nash Mc, hataki kubadilika kuwa msanii wa kisasa, mfano nyimbo zake anauza whasap badala ya kuziweka ktk plattform za kuuzia mziki kama boomplay, audiomack au spotfy.
Cha ajabu zaidi ni kwamba hasikilizi ushauri wa mashabiki wake hata kidogo. Mfano anataka kutoa album lkn ukimwambia iweke boomplay anakwambia imba yako ukaiweke!!
Hivi huu ni ushamba au ujanja? Wasanii wote wanaojielewa wanaweka kazi zao huko ila nash allamechagua njia ya kuuza nyimbo zake whasap.
NASH Mc najua mtu kama ww lazima utakuwa humu JF, mimi ni shabiki yako mkubwa na ninapenda uimbaji wako lkn jaribi kubadilka kuwa wa kisasa kama wasanii wengine.