thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Ni nafuu hata huyo anayeuza Kwa WhatsApp kuliko hizo digital platforms.
Ili upate $1 unahitaji streams 318 kwenye Spotify, spotify inalipa vizuri zaidi ya boomplay
Chukulia umeuza albamu whatapp $1 Kwa watu 300 msanii atapata $300.
Kwenye digital platforms kuna kamishen inayochukuliwa na hizo platforms, sasa Kwa msanii kwenye base ndogo ni upotezaji WA muda na resources.
Si unakumbuka watanzania wengi hawapendi kulipia digital contents, si unakunbuka wasafi.com na mkito.com zilivyojifia
Ili kuzilinda KAZI zao, hao wanauza Kwa WhatsApp ni vizuri wakaungana na kuunda platform Yao wenyewe ambayo itakuwa inapost KAZI zao Tu.