Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

Kwa sasa anaweza kwenda Ubalozi wa Marekani au Kanada kuomba kuwa Mkimbizi na akakubaliwa.
Ni fulsa kwake kufaidika na hadhi ya ukimbizi ambayo ina mshahara mnono kila mwezi.

Mwenzake Roma anakula maisha America.
 

Kesi ya mwimbaji Sifa Boniventure Bujune (25) mkazi wa Isyesye, Mbeya Tanzania

Wakili asema sasa ni wajibu wa mwendesha mashitaka kuja na ukweli

View: https://m.youtube.com/watch?v=IqEDNGKsRxQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…