edwin george JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 1,218 Reaction score 981 Feb 16, 2017 #41 Jmujun said: Kanisa liwe la uhongo hakuna mwenye mamlaka ya kusema hivo, MUNGU ni ajabu sana kama ukitafuta habar zake Click to expand... Ni sawa ila pia yeye ni kama wengine. Wachungaji wetu wengi hatujui wamepitia maisha gani mpaka kuwa wachungaji na ney ni binadam pia sio shetani anaweza kuwa mchungaji pia sio ishu ya kushangaza sana ni kawaida
Jmujun said: Kanisa liwe la uhongo hakuna mwenye mamlaka ya kusema hivo, MUNGU ni ajabu sana kama ukitafuta habar zake Click to expand... Ni sawa ila pia yeye ni kama wengine. Wachungaji wetu wengi hatujui wamepitia maisha gani mpaka kuwa wachungaji na ney ni binadam pia sio shetani anaweza kuwa mchungaji pia sio ishu ya kushangaza sana ni kawaida
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Feb 17, 2017 #42 Kiki nyingine ni kufuru.
Benny EM JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 488 Reaction score 349 Feb 17, 2017 #43 Hii idea nzuri kw kweli namuunga mkono
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,186 Reaction score 7,184 Feb 17, 2017 #44 Jamaaa now days anatafuta kiki sana kwa matamko mengi mengi, mara sijui hili mara lingine yaaani maneno kibao. [HASHTAG]#hana[/HASHTAG] jipyaaa
Jamaaa now days anatafuta kiki sana kwa matamko mengi mengi, mara sijui hili mara lingine yaaani maneno kibao. [HASHTAG]#hana[/HASHTAG] jipyaaa