edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 981
Ni sawa ila pia yeye ni kama wengine. Wachungaji wetu wengi hatujui wamepitia maisha gani mpaka kuwa wachungaji na ney ni binadam pia sio shetani anaweza kuwa mchungaji pia sio ishu ya kushangaza sana ni kawaidaKanisa liwe la uhongo hakuna mwenye mamlaka ya kusema hivo, MUNGU ni ajabu sana kama ukitafuta habar zake