Msanii Ney wa Mitego kujenga kanisa

Msanii Ney wa Mitego kujenga kanisa

Kanisa liwe la uhongo hakuna mwenye mamlaka ya kusema hivo, MUNGU ni ajabu sana kama ukitafuta habar zake
Ni sawa ila pia yeye ni kama wengine. Wachungaji wetu wengi hatujui wamepitia maisha gani mpaka kuwa wachungaji na ney ni binadam pia sio shetani anaweza kuwa mchungaji pia sio ishu ya kushangaza sana ni kawaida
 
Jamaaa now days anatafuta kiki sana kwa matamko mengi mengi, mara sijui hili mara lingine yaaani maneno kibao.

[HASHTAG]#hana[/HASHTAG] jipyaaa
 
Back
Top Bottom