Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

That was golden age kwenye bongo fleva, sikuhz sijui hata haws madogo wanaimba nn
 
haujakaa sawa mara shwaa
 
Kwenye namuimbia kuna mistari ambayo ina hisia sana..
"Eti wanasema nisikutafute thamani ya kitu ajuaye mwenye chake acha chozi linidondoke"
 
Daah yan nimeona tu jina Pasha. Imebidi niingie kusikiliza ngoma zake aseeeh jamaa walitubless na mangoma mazuri sana.
 
Doh umenikumbusha Dulayo...alikuwa na ngoma kali..
Pia kulikuwa na:
1. Buibui
2. Vumilia (utanikumbuka)
3. Ytony (masebene)
Dah,huo wimbo wa Vumi...basi tu,acha tu...aisee umenikumbusha mbali,moyo umeshtuka sana.umenikumbusha kipindi kigumu nilipotia huo wimbo ilikua Kila muda nasikiliza.
Mapenzi haya yanajua kuumiza, niliingia mkataba na moyo wangu kuwa siji uletea maumivu Tena mpaka naenda futi sita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…