Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh producer wao alikua Shirko yani kipindi hiko waZanzibar wanakimbiza kila wimbo wa Zanzibar alikua anawagongea alikua ana beat flani hivi kama ile ya kidato kimojaWalikuwa wanaitwa 2 berry kabla hawajasambaratika (berry white &black) producer alikuwa Shirko (kama kumbukumbu zangu zipo sawa huyu alikuwa mkenya)
HahahahaNingeomba unixalie kitoto cha kiume tukiite "MB Dog"
Pamoja sana
Si tulikua tunaona fresh tu😅😅Kundi Lao lilikuja vunjika. Berry Whitenand Berry Black, walitisha sana enzi zao
Come to think about it, wazanzibar kweli kweli mwanaume unajiitqje Berry🤣
Hakika yalishushwa madude mfululizo yena bila matumizi ya matusi..Miaka ya 2006 -2014 bongo fleva ilikua fire sana
Verse ya mwisho baada ya jamaa kurap aliingia vizuri sana mixer beat inapigwa kikatili sana na vinanda vya maana sana vikilizwa unasikia akiimba "watu wanasema nisikufuate tena ikibidi nisikukumbuke thamani ya kitu ajuaye mwenye chake acha chozi linidondoke"anaenifanya me nikose raha, ndiye ninae muimbia...
na kama basi unanisikia, mpenzi sogea...
mzee wa kutinda nyusi Mpasha /Pasha
Masasi sio?Pale Raha leo ukipita kule chini watakuonyesha hapa kwa akina Pasha
Ntwara nnjini paleMasasi sio?
yule mwana alichana ile vers kibabe sanaVerse ya mwisho baada ya jamaa kurap aliingia vizuri sana mixer beat inapigwa kikatili sana na vinanda vya maana sana vikilizwa unasikia akiimba "watu wanasema nisikufuate tena ikibidi nisikukumbuke thamani ya kitu ajuaye mwenye chake acha chozi linidondoke"
Hakikayule mwana alichana ile vers kibabe sana
KiporoAnapasha nini sasa ...?
Fanya tu kuanzia 2000-2010, hiyo miaka 10 vilitoka vitu vya moto kweli kweli kabla ya wanaijeria kuja kutuharibia muziki wetu pale vijana walipoamua kuimba matusi matusi kwa kigezo cha muziki biashara.Miaka ya 2006 -2014 bongo fleva ilikua fire sana
Hakika vilipigwa vitu na producers walikua na akili nyingi sana..Fanya tu kuanzia 2000-2010, hiyo miaka 10 vilitoka vitu vya moto kweli kweli kabla ya wanaijeria kuja kutuharibia muziki wetu pale vijana walipoamua kuimba matusi matusi kwa kigezo cha muziki biashara.