Kutumika kinyume na maumbile.Hawako sawa kiaje mkuu?..HIV+/wameathirika na dawa za kulevya,
Sent from my HUAWEI P6-U06 using Tapatalk
Mleta maada kachanganya madensa makamua ndo kawa teja wala siyo Qj
Doh, itakua umechanganya...makamua ni mtu wa tungi na fegi tu hata bangi anaogopa...labda kama mambo yalichenji baadae...namjua toka kitambo sana.