Msanii Q Jay aingia kwenye madawa ya kulevya

Msanii Q Jay aingia kwenye madawa ya kulevya

Q jay tokea ameachana na ulokole amepoteza ile mbaya kawa chapombe hata hiyo ya ngada sitashangaa
 
Bila picha wala ushahidi ni kumchafua na kumdhalilisha na sidhani kama una haki hiyo ... nashangaa uongozi wa jf kuuacha uzi kama huu
 
Nasikia jamaa amechizi, sasa sijui kwa ajili ya madawa au lah

source: Fareed Kubanda
 
Mleta maada kachanganya madensa makamua ndo kawa teja wala siyo Qj

Doh, itakua umechanganya...makamua ni mtu wa tungi na fegi tu hata bangi anaogopa...labda kama mambo yalichenji baadae...namjua toka kitambo sana.
 
Back
Top Bottom