sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kijana muoga wa maisha wakati kazi za kuajiriwa unaweza fukuzwa muda wowote mkuu.hahahahahaaa... ukiwa masikini tatizo kubwa hasa pale unapo hanya bosi ata ku-mind...
ana jaribu kuonesha jinsi watanzania walivyo waoga na hawajiamini... kwa namna yoyote ile... na kwa nyazifa yoyote waliyo nayo... ni waoga na wasio jiaminiSasa Rama Dee kuonyesha mazungumzo yake na mtu ambaye anasound desperate ni tabia gani?
Huoni kibaya sababu hujui haki ya privacy ya ugonjwa..Sioni kibaya alichokifanya Rama Dee, ila ndio hivyo kashampa mtihani bdozen na hii habari kama ingekuwa labda ya mtu mwengine, SHILAWADU wangeifungia kazi.
Hiyo ni kumdhalilisha mwenzake. John Legend alimshauri Kanye, Kanye akaonyesha ushauri aliopewa watu wakajua ni kwasababu ya uchizi wake, huyu Ramadee vipi?ana jaribu kuonesha jinsi watanzania walivyo waoga na hawajiamini... kwa namna yoyote ile... na kwa nyazifa yoyote waliyo nayo... ni waoga na wasio jiamini
Sijakataa ni kweli, je SHILAWADU wanalijua hili kwani wao kiongozi wao ni ruge (ili kitu chochote kiruke lzm yy apitishe) . Kama SHILAWADU wanalipoti matukio mengine, ambayo watu hawataki wayaripoti sababu ya privacy zao, basi Rama Dee yupo sawa na hajakosea kabisa.Huoni kibaya sababu hujui haki ya privacy ya ugonjwa..
Huwezi kwenda hadharani kutangaza magonjwa ya watu bila ruhusa ya mgojwa mwenyewe..
Kuna watu hawataki ugonjwa wao ujulikane na hio ni haki yake ya msingi kabisa
Kwahio mkuu shilawadu ndio wana justify uharamu au uhalali wa jambo??Sijakataa ni kweli, je SHILAWADU wanalijua hili kwani wao kiongozi wao ni ruge (ili kitu chochote kiruke lzm yy apitishe) . Kama SHILAWADU wanalipoti matukio mengine, ambayo watu hawataki wayaripoti sababu ya privacy zao, basi Rama Dee yupo sawa na hajakosea kabisa.
Basi mwalimu wako alipata tabu sana aiseeeee.....Napita, hii habari bado sijaielewa
nani ana umwa sasa? ramadee, bdozen au ruge? nani ana paswa kudai kufutwa kwa hiyo post ni ruge ramadee au bdozen...?Huoni kibaya sababu hujui haki ya privacy ya ugonjwa..
Huwezi kwenda hadharani kutangaza magonjwa ya watu bila ruhusa ya mgojwa mwenyewe..
Kuna watu hawataki ugonjwa wao ujulikane na hio ni haki yake ya msingi kabisa
Mgonjwa ni ruge..lkn inaonekana taarifa za ugonjwa alizitoa bdozen kumpa rama dee...nani ana umwa sasa? ramadee, bdozen au ruge? nani ana paswa kudai kufutwa kwa hiyo post ni ruge ramadee au bdozen...?