Msanii RamaDee atoa pole kwa Ruge

Msanii RamaDee atoa pole kwa Ruge

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Pole kwa boss Ruge aliyotoa msanii RamaDee uko insta imemletea utata kwa B12.

Inst-image-34.jpg
 
Napita, hii habari bado sijaielewa
 
Sioni kibaya alichokifanya Rama Dee, ila ndio hivyo kashampa mtihani bdozen na hii habari kama ingekuwa labda ya mtu mwengine, SHILAWADU wangeifungia kazi.
Huoni kibaya sababu hujui haki ya privacy ya ugonjwa..
Huwezi kwenda hadharani kutangaza magonjwa ya watu bila ruhusa ya mgojwa mwenyewe..
Kuna watu hawataki ugonjwa wao ujulikane na hio ni haki yake ya msingi kabisa
 
ana jaribu kuonesha jinsi watanzania walivyo waoga na hawajiamini... kwa namna yoyote ile... na kwa nyazifa yoyote waliyo nayo... ni waoga na wasio jiamini
Hiyo ni kumdhalilisha mwenzake. John Legend alimshauri Kanye, Kanye akaonyesha ushauri aliopewa watu wakajua ni kwasababu ya uchizi wake, huyu Ramadee vipi?
 
Huoni kibaya sababu hujui haki ya privacy ya ugonjwa..
Huwezi kwenda hadharani kutangaza magonjwa ya watu bila ruhusa ya mgojwa mwenyewe..
Kuna watu hawataki ugonjwa wao ujulikane na hio ni haki yake ya msingi kabisa
Sijakataa ni kweli, je SHILAWADU wanalijua hili kwani wao kiongozi wao ni ruge (ili kitu chochote kiruke lzm yy apitishe) . Kama SHILAWADU wanalipoti matukio mengine, ambayo watu hawataki wayaripoti sababu ya privacy zao, basi Rama Dee yupo sawa na hajakosea kabisa.
 
Kwahio mkuu shilawadu ndio wana justify uharamu au uhalali wa jambo??
Shilawadu kupost privacy za watu haimaanishi ni sawa.. ila kuwaiga hao ndio upuuzi zaidi.
Tulitegemea labda rama dee kujitofautisha na shilawadu na kufanya vitu vilivyo sawa na haki
 
Huoni kibaya sababu hujui haki ya privacy ya ugonjwa..
Huwezi kwenda hadharani kutangaza magonjwa ya watu bila ruhusa ya mgojwa mwenyewe..
Kuna watu hawataki ugonjwa wao ujulikane na hio ni haki yake ya msingi kabisa
nani ana umwa sasa? ramadee, bdozen au ruge? nani ana paswa kudai kufutwa kwa hiyo post ni ruge ramadee au bdozen...?
 
Mbona ina semekana Ruge mwenyewe amesema hakuna tatizo kwa rama dee kufanya alicho kifanya... je Bdozen bado ana ng'ang'ania ramadee afute hiyo post??

na ni matatizo gani ambayo anasema yatampata kwa ajiri ya hiyo post??? je alitaka kutuaminisha kuwa mh. ndg. ruge angeweza chukua hatua kali zidi yake, au ruge ni mkorofi nk.... ana jaribu kutupa picha ya ruge alivyo??? kama wengi wamlalamikiavyo???

bahati nzuri kumbe ruge ka win mawazo ya dozen....
 
Kimsingi Rama Dee amefanya makosa matatu hapo.....
1. Ameweka siri ya mgonjwa hadharani pasipo mgonjwa kutaka yeye.
2. Amekiuka makubaliano ya kutunza siri aliopewa na B12.
3. Ame disclose conversation kati yake na B12.
 
nani ana umwa sasa? ramadee, bdozen au ruge? nani ana paswa kudai kufutwa kwa hiyo post ni ruge ramadee au bdozen...?
Mgonjwa ni ruge..lkn inaonekana taarifa za ugonjwa alizitoa bdozen kumpa rama dee...

Kwahio dozen alikua anamtaka afute ili kulinda kazi yake asitumbuliwe..... (mimi nilivyoelewa)
 
Back
Top Bottom