Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Akili na mitizamo hubadilika. Sauli siyo Paulo, ingawa mwili ni ule ule!!
Kama unaamini huyo teja mbobezi ana akili kuliko wana CCM, basi mkuu inabidi umtafute daktari wa akili ukae nae ndani ya ofisi yake hata kwa robo saa, anaweza kugundua tatizo ambalo likitibiwa utakuwa mtu muhimu sana duniani.
 
Kama unaamini huyo teja mbobezi ana akili kuliko wana CCM,
Siangalii uteja wake bali naangalia alichokisema. Profesa Shaba (RIP) alikuwa anakunywa pombe sana, lakini haikumuondolea sifa yake ya kuwa mbobezi kwenye anga za mambo ya "Pathology".
 
Alichosema hakimaanishi kuwa na akili kulo wana CCM wote, labda lengo la uzi wako liwe ni kuwadharau hata usiowajua

Unatenda kosa lingine tena, unamlinganisha Profesa Shaba aliyelala na mwili wa Marehemu Sokoine pale Karimjee kwa siku mbili na huyo teja mwanamuziki.
 
nipe hii stor mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kilewella anatoa kali ya mwaka. Anamlinganisha Prof Shaba ambaye kwa kipindi kirefu cha uhai wa nchi yetu alikuwa ndio pathologist (daktari mgunduzi wa chanzo cha kifo) pekee pale Muhimbili na huyo Chid Benz ambaye unga ulitaka kumuua.

Nakumbuka pale ocean road kule chini kwenye mchanga wa pembeni ya bahari miaka ya 90 kuna kibaka mmoja alitaka kumpora mbegi mtalii wa kizungu akiwa na mchumba wake, yule mzungu wakati kibaka akikimbia na begi akachomoa pisto akamuua halafu akachukua begi lake na kuendelea na matembezi.

Baada ya masaa matatu profesa Shaba akaitwa na watu ili autazame mwili, kuugeuza akasema huyu mtu kauwawa masaa manne yaliyopita, na ni kweli jamaa aliuliwa saa saba mchana kwa mujibu wa waliofika mapema katika eneo la tukio.

Enzi hizo Prof alikuwa na heshima kubwa sana hapa TZ.
 
yukwap huyu prof cku hz mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yukwap huyu prof cku hz mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaishi Marekani, mwaka jana alifiwa na Mkewe. Alikuwa anaishi maeneo ya karibu na hospital ya ocean road, pale ambapo sasa hivi pamejengwa lile ghorofa refu ambalo ukiwa unatokea baharini kuja kwenye ile round about lipo upande wako wa kulia.

Pale palikuwa na nyumba za wafanyakazi wa serikali.
 
nashukuru kwa maarifa uliyonijuza mkuu
Anaishi Marekani, mwaka jana alifiwa na Mkewe. Alikuwa anaishi maeneo ya karibu na hospital ya ocean road, pale ambapo sasa hivi pamejengwa lile ghorofa refu ambalo ukiwa unatokea baharini kuja kwenye ile round about lipo upande wako wa kulia.

Pale palikuwa na nyumba za wafanyakazi wa serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao maprof uliowataja kichwani hawana akili, wamejaza uharo tu, chidi ameonesha akili kubwa kuliko hayo mazombi
wenzake huwa wanavuta tu bhangi ila yeye anakula kabisa. yaani bhangi hizo unafananisha na akili za wanazuoni wakubwa waliopo ccm kama prof. muhongo, prof. ndalichako, prof. mbarawa...na wengineo wenye majina makubwa na mchango mkubwa wa kitaalamu duniani. akili kama hizo zipo chadema tu, ccm hatuna huo ujinga

Wanazuoni wenyewe ndio hawa wakina USSR, Bashite, Jingalao, Stroke, Msaga Sumu na Ndege John?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom