Wewe ndo kichaaa km umeshindwa kumuelewa,utakua na ulemavu wa fikraHivi ukisikiliza kichaa nani hapo anakuwa kichaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo kichaaa km umeshindwa kumuelewa,utakua na ulemavu wa fikraHivi ukisikiliza kichaa nani hapo anakuwa kichaa?
Mi nilikuwa siamini kama kuna kurudi ukisha kamatwa na madawa ila thanks to Mh Makonda na wana Dar kijana amerudiJamaa karudi kwenye akili yake ya kawaida. Hongera wanafamilia, ndugu na rafiki zake kwa kumchangia matibabu na kumuombea. Pongezi kwa Paul C. Makonda kuendesha kampeni ya kutokomeza madawa ya kulevya Dar Es Salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mfanyeni awe mgombea uraisi kupitia ukawa 2020
Bado mapema MKUU ,,ngoja ipite mwaka mmoja KAMILI,, kama HAJAREJEA MADAWA tuseme ALHAMDULILAH , ,hiyo ni ALBADILI YA KIHINDI kuacha ni NGUMU SNMi nilikuwa siamini kama kuna kurudi ukisha kamatwa na madawa ila thanks to Mh Makonda na wana Dar kijana amerudi