Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Ashukuliwe labuka yeye mleta uzima !

Kijana kuna kipindi alikuwa dhahiri dish limeyumba na lilikuwa halirudi ,lakini thanks kwa marafiki wajirani na mama yake mzazi amesimama na kijana wake mwanzo mwisho ,hata sauti yake inshaalah akiendelea na hii speed ya kuimarika tutamrudisha chid wa Dar es salaama stand up ! .

Nimekuwa niki fuatilia interview zake kwanza alikuwa mwanzo anaongea maneno hayana mpangilio na mwenye kukosa adabu ,ila juzi alihojiwa juu ya mahasimu wake alijibu kwa hekima with no hard feelings ,pia alipoulizwa kuhusu makonda alikosoa kwa heshima kubwa ya kiti cha ukuu wa mkoa ,yaani nahakika makonda alistuka hiyu ndo yule teja ? Maana alienda straight kwenye kukosoa lakini kwa nidhamu na hekima ya juu .

Natoa rai kwa jamii please wapeni watu second chance ,people can change .
 
ALIVYOKUWA PALE ZAMANI(AKIWA JUU)
1550605392222.png

ALIPOHARIBUWA NA MADAWA YA KULEVYA
1550605273214.png


BAADA YA MATIBABU(ALIVYO SASA)

1550605497695.png


MAANA YA KUMPOSTI NA WASAFI NI USHAHIDI WOTE MNAJUA KUNDI HILI LIMEJITOKEZA BAADA YA YEYE KUTOKA SOBER HOUSE
 
Jamaa karudi kwenye akili yake ya kawaida. Hongera wanafamilia, ndugu na rafiki zake kwa kumchangia matibabu na kumuombea. Pongezi kwa Paul C. Makonda kuendesha kampeni ya kutokomeza madawa ya kulevya Dar Es Salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilikuwa siamini kama kuna kurudi ukisha kamatwa na madawa ila thanks to Mh Makonda na wana Dar kijana amerudi
 
Haya mfanyeni awe mgombea uraisi kupitia ukawa 2020
 
Kawaida yenu MTU mwingine akitaka uraisi au uenyekiti kama sio mpendwa wenu lazime kinuke
 
Back
Top Bottom