Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Huyu jamaa kwa hayo aliyoyasema basi asubiri kesi ya kubambikiwa!
 
Hahaha, Chid kaongea ukweli kabisa na kasema wasanii mwisho wa siku wao wanachotaka ni pesa tu na si kingine.

Ila ushauri aliompa makonda ni mzuri sana kama mawaziri wapo kule yeye nani siku moja asiende kama atakuwa na makosa?? So ajitengenezee kesho yake kwa kuweka mazingira sawa.
 
Makamanda bana...hapo angemsifia Makonda matusi yake yasingekuwa ya dunia hii
 
Huyu jamaa Yuko vizuri media ndo zinachangia kumshusha

I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
 
Yani Child kusema ivo ndio eti ana akili sana, Yani upinzani hamna cha kujitetea kabisa kila anaempinga magufuli kwenu ni bora sana hata kama hana logic yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: KGM
Yani Child kusema ivo ndio eti ana akili sana, Yani upinzani hamna cha kujitetea kabisa kila anaempinga magufuli kwenu ni bora sana hata kama hana logic yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hajampinga magufuli. Kamuelekeza makonda asibase na mambo ya wasanii na michezo afanye mambo yenye tija kama kuboresha magereza maana anaweza kwenda yeye na hata magufuli. Unasema hiyo sio point kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…