mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wakati ni mambo mazito husemwa n watu wasiotarajiwa na huo ni ujumbe mzito kuwa maovu ya viongozi yanafahamik hadi kwa watu usiotraji ni hatarisana Swala la MudAKaamua kujilipua.... Kaongea kitu ambacho wengi wasingewaza kuongea hata kwa mtutu wa binduki
Jr[emoji769]
Amekuwa Dr lini?Mnaweza kumfunga Dr Lisu kwa mabavu tu ila sio kwa vifungu vya sheria.
Braza huwa anaongea huku anafikiri, ni maneno gani akiongea yatamfunga kisheria na maneno gani akiongea hayatamfunga kisheria.
Hapo mmekwama
Mbugila we
Aisee tusiwachukulie poa jamaa akitangaza nia ubunge hamumtoiWatamfuatilia kama mrundi na akikaa vibaya atatekwa
Nasikia amepatikana daktari wa kukurudishia mikunjo yako.nasikia mbowe kashamtayarishia tundu lisu selo ya kukaa segerea siku akirudi bongo
Unaskianasikia mbowe kashamtayarishia tundu lisu selo ya kukaa segerea siku akirudi bongo
Mo Dewji ni mfano hai.Kaamua kujilipua.... Kaongea kitu ambacho wengi wasingewaza kuongea hata kwa mtutu wa binduki
Jr[emoji769]
Amen
sasa hivi wanaanza kusema chidi anatumiwa na mabeberu😛😛😛😛😛Hahaaaa kwa hii sirikali ilivyo na mambo ya ajabu unaweza kushangaa wanamtumia watu wasiojulikana mtu kama chidii..
Sent using Jamii Forums mobile app
Chidi kampinga Magufuli???Yani Child kusema ivo ndio eti ana akili sana, Yani upinzani hamna cha kujitetea kabisa kila anaempinga magufuli kwenu ni bora sana hata kama hana logic yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania bhana!!! Yaani umemuona ana akili kisa tu kamkosoa makonda!??? Eti ndo umemuona ana akili! Pole sana
Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi.
Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda aache kujiingiza mambo mengi yasiyo maana ikiwemo wasanii Kwa kutaka wamsifie wakati wao wanataka hela tuu.
Ajikite mambo ya maana ikiwamo kuboresha hata Segerea kwani yeye au hata Magufuli kama kuna waliyotenda Kwa makosa sasa wajue wataenda kule hivyo waboreshe makazi yao.
Ujumbe murua, Ila waweza kubezwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Amenena vyema kiukweli...ipo siku watayakumbuka maneno yake......