Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Hivi kumtukana rais ina maana gani,maana sijaona Chid akitukana. Au kusema jiwe anaweza kwenda jela ni matusi
 
Mnaweza kumfunga Dr Lisu kwa mabavu tu ila sio kwa vifungu vya sheria.
Braza huwa anaongea huku anafikiri, ni maneno gani akiongea yatamfunga kisheria na maneno gani akiongea hayatamfunga kisheria.

Hapo mmekwama

Mbugila we

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nimependa neno lako la mwishoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mbugila
 
Ni swala la muda tu kabla maneno hayo hatajatimia.

Wanaona raha kuweka wapinzani ndani ila hawajui kuwa kuna siku na wao wataingia humo.
Kamsalimie Mbowe wewe acha kelele huku JF. Leo ni siku ya kuona mahabusu na wafungwa Segerea!
 
Mungu anapotaka kutoa unabii kwa jambo fulani huwa anawatumia watu wanyonge ambao si rahisi kuwaamini mpaka maneno yao yatakapotimia (kumbuka kwa Yesu Kristo,nabii Mussa na wengineo)
Hapa Mungu ameamua kutoa maneno ya kinabii kupitia kwa Chid Mabenz,hakika siyo leo wala kesho ipo siku huu unabii utatimia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…