Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

ccm ya awamu ya 5 haijawahi kuwa na aibu yoyote , wala usishangae huyu dogo kupewa kesi ya kutakatisha pesa

Sikatai na unachosema na ni kweli anaweza kufanywa mfano. Issue yangu ni kuwa mnapokimbilia kusema huyu mtu ajiandae kutekwa au aongeze ulinzi, hapo unampa woga mtu mwingine kuongea. Kila mtu anajua kinachoendelea, ukiona mtu anasema kitu ujue ameshapima na yuko tayari....

Ni ushauri tu.
 
Dua la kuku hilo kwa mwewe, muulizeni kwanza madawa kaacha?
Choko Bashite ana kinga gani..lisenge limetuharibia Yanga yetu tunafungwa kisengerema..akija hata wa CCM mwingine litaenda kunyea ndoo..lilitaka $100,000 kwa Manji akalitosa ndio yote yaliyotokea
 
Msanii chidi Benz ana akili kubwa ukiachana na matatizo yaliyo mkuta kutokana na matumizi ya ngada.
Nimekua nikimfuatilia mahojiano yake na waandishi hivi karibuni, niseme tu huyu jamaa ni kichwa kuliko baadhi ya wasanii wengi tu ambao wanajiona wao ni bora.
Hivi hizi points anazoongea Chidi mtu kama Dudubaya ataweza kweli?
Mcheki hapa chid akitema sumu zenye akili.
 

Attachments

 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Lucas philipo

Professor wa ccm hahahahah chama la wajinga

Mkiambiwa ukweli mnadivert [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Waambie waboreshe magereza huyo mahips kazi anayo siku sio nyingi
 
Kwa siku ya jana na leo baada ya clip fupi ya video ikimuonesha msanii wa kizazi kipya chid benzi aka chuma akitoa ushauri kwa mkuu wa Dar es salaam kuhusu kuachana na mambo madogo madogo ambayo haswa yanamfanya kujitangaza zaidi kwa mkuu huyo na kumshauri kufanya mambo ambayo yanalenga jamii kwa ujumla.

Je kwa hii kitu haita mfanya mkuu huyo kukasirika na ukizingatia msanii huyu ni mtumiaji mzuri wa madawa ya kulevya hivyo kutumia mwanya huo kuamrisha akamatwe na akapimwe mkojo kisha harakati za mahakama zianze ili kuweza kumzoofisha msanii huyu ambapo atakuja kuzikana kauli zake...nawaza tu ila hakuna alichoongea chid benzi chenye mantiki zaidi tu ya ushabiki wa wana ufipa kulikuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaulizaje kwa kuja na hoja ya kumkamata kwa kumvizia mtu ambae hata wewe usipofikiri kwa kutumia tumbo unaona kabisa alichoongea kina mantiki
 
Unaulizaje kwa kuja na hoja ya kumkamata kwa kumvizia mtu ambae hata wewe usipofikiri kwa kutumia tumbo unaona kabisa alichoongea kina mantiki
Ila naomba utambue unapokuwa kiongozi wewe ni kiongozi wa kila kundi na unapaswa kuwapa support
nyie ndio kesho hawa wasanii wakiachwa tu mtakuja pia kulalamika kuwa serikali haiwajali kumbe si kweli utasema labda yeye si wizara ila yeye ni kiongozi wa mkoa alicho fanya ni kuongea na wasanii waliopo dar tu na si wasanii wa tanzania nzima ambapo hapo ndo wizara itahusika zaidi ni ubunifu tu wa kiongozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mnayemsifu leo siku akikutwa tena na ngada ndio mtakuja hapa kusema ameonewa!

Haya husiani, kwa hiyo mtu akisema lililo haki basi asisifiwe kwa sababu kesho anaweza kukumbwa na kosa?
 

Kamuulize marehemu Chiluba wakati anatoka madarakani katiba ilikuwa inasemaje na kwa nini alijikuta kafia akiwa jela?
Katiba yaweza kubadilishwa na akachoma ndani hata mzee Mwinyi.
Kwanza hata hivyo kinga huwa ipo pale tuu alipokuwa anatimiza majukumu yake ya kazi kama kiongozi, yale mambo ya nyuma kama kaharibu hayana kinga bali uungwana tuu unatumika na haya mambo ya pyu pyu hayamo katika utendaji kazi
 

Wewe ni bwege kabisa! Kamtukana nani hapo? Hebu potea mbali kijana!
 
 
Mlianza kuunga mkono na kusambaza Usho.ga na sasa mnahamia kwenye watumiaji madawa ya kulevya na kuharibu watoto wetu.
Pathetic!
#HAPANATunduLissu.

Ama kweli nchi imejaa vipaji vingi mno! Ona kama hiki cha ujinga ulio tamalaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…