Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

Nampa hongera huyo shemeji na mama yake kwa juhudi kubwa wanazofanya kumiweka sawa. Huyu jamaa bado ni hazina. Na yeye ajitahidinarudi hali yake ya kawaida.

Maana watu walishaa andaa risara yake....
 
None taken. You are Pathetic uncircumcised baboon ...nothing personal.
[emoji23][emoji23][emoji23] Interesting, How did you know that I'm an uncircumcised baboon?

Sent using Sukhoi Su-57
 
  • Thanks
Reactions: Gut
Hakika nami nimejifunza nimebadili mtazamo wangu, nilidhani ameharibika kiasi hicho wanachosema kumbe la. " ....Aboreshe kule Segerea, Watu wamebanana wanalala wengi, kule tunalala na Mawaziri, kuna mawaziri kule. Watu wanajisahau kwamba hata Magufuli akimaliza muda wake anaweza akaenda kama ana matatizo ni bora uboreshe kama unajua sio kila unachofanya ni jema" - Chid Benz
Kuna siku mtu mmoja akiwa tabora alisema yeye haogopi kufungwa, kwa hiyo kuboreshwe, kusiboreshwe kunaitwa jela tu.
 
Huyu jamaa kagonga palepale penyewe hata kama ni teja bila shaka ni teja smart kichwani,tulishamuambia sana afanye mambo yafike mwisho sio unarukia hiki kile hujamaliza ili mradi tu upate sifa na kiki za kitoto
Umechagua wasanii ili wakupambe kwenye socila media?anyway wanachotaka wao ni hela tu ,wapeni hela watawalamba hata nyayo zenu.
 
Yote aliyoyasema ni kweli tupu, ni bora ukaboresha jela kwa sasa ukiwa na uwezo huo, hasa kwa watu wadhulumaji, wauaji, wakandamizaji.....jela inawahusu tu hata kama si leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom