Acha Usho.ga uende Mbinguni kamanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha Usho.ga uende Mbinguni kamanda.
waliyotenda
None taken. You are Pathetic uncircumcised baboon ...nothing personal.Nothing personal, you have the right to be insane.
Sent using Sukhoi Su-57
[emoji23][emoji23][emoji23] Interesting, How did you know that I'm an uncircumcised baboon?None taken. You are Pathetic uncircumcised baboon ...nothing personal.
Hahaha ama Hakika nasadikiHata SAA mbovu kuna wakati inasema ukweli.
Hahaha mkuu huyu jamaa akili yake dish limeyumba .... eti anasema alimshauri shilole nini haha ukiwa Teja unakuwa hauna soni kabisa aiseKaamua kujilipua.... Kaongea kitu ambacho wengi wasingewaza kuongea hata kwa mtutu wa binduki
Jr[emoji769]
Haha akikujibu nitag mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23] Interesting, How did you know that I'm an uncircumcised baboon?
Sent using Sukhoi Su-57
It doesn't take a rocket scientist to know One.[emoji23][emoji23][emoji23] Interesting, How did you know that I'm an uncircumcised baboon?
Sent using Sukhoi Su-57
Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia
Wewe unavyofikiri ni kick lkn kama unatazama na kusikia vizuri unaona anaongea uhalusia na hakuwa studio kumsema makonda ni maswali yaliyompeleka hadi point hiyoChid katafuta kiki kishamba sana
Kuna siku mtu mmoja akiwa tabora alisema yeye haogopi kufungwa, kwa hiyo kuboreshwe, kusiboreshwe kunaitwa jela tu.Hakika nami nimejifunza nimebadili mtazamo wangu, nilidhani ameharibika kiasi hicho wanachosema kumbe la. " ....Aboreshe kule Segerea, Watu wamebanana wanalala wengi, kule tunalala na Mawaziri, kuna mawaziri kule. Watu wanajisahau kwamba hata Magufuli akimaliza muda wake anaweza akaenda kama ana matatizo ni bora uboreshe kama unajua sio kila unachofanya ni jema" - Chid Benz
AiseeYote aliyoyasema ni kweli tupu, ni bora ukaboresha jela kwa sasa ukiwa na uwezo huo, hasa kwa watu wadhulumaji, wauaji, wakandamizaji.....jela inawahusu tu hata kama si leo
Sent using Jamii Forums mobile app