nimekimiss kiuno chake daaah
Dah.Atakufa mkuuu...wakikosa yale masembe wanatetemeka km wanataka kufa hv
nilikua nammezea mate sana hata waifu alikua analijuahahahaa Mkuu unakumbuka lile 'uno bila fupa'
Kwanini kusiwe kijijini ikiwa babu na bibi yake wanakaa hapo ni ruksa kutambulika kama kijijini kwao hilo halina ubishi kijijini sio lazima iwe mbwinde shehe wangu we kubaliana nae yupo sawaWewe upo nchi nyingine sio Tz ninayoijua, niliyozaliwa na kukulia, kama Masaki unapaita kijijini kweli? au ni mhamiaji nini hauvijui vijiji vya Tanzania jinsi vilivyo.
eeeeeehhh wewe hela zako jeeeeKijijini kwetu ni Masaki na sina ndugu wa kumlilia wote mambo yao ni mazuri.
Kwanini kusiwe kijijini ikiwa babu na bibi yake wanakaa hapo ni ruksa kutambulika kama kijijini kwao hilo halina ubishi kijijini sio lazima iwe mbwinde shehe wangu we kubaliana nae yupo sawa
Mjinga tu yule kuna mambo kibao ya maana kudiscuss humu mkuu ray c kitu gani bwana si anajifanya nyoka?watu tunapigika na maisha yeye anachezea anatafuta kiki2 mbuzi huyoteh teh teh
Mkuu wagonjwa wote hubembelezwa ili wawahi kupona aisee.
Hali aliyofikia ni mbaya sana, ukimpeleka puta anaweza kufa yule.
sasa hizo ndio fursa zenyewe wacha wapige uchumiGlobal wanatumia matatizo ya watu kutengeneza kipato so stupid guys
Bado nasisitiza labda atakuwa ni ukoo uliohamia Tz na wakapata citizenship by registration maana hata wenye asili ya hapa Mzizima waliokuwa wanaishi pale maeneo ya Kariakoo walisogea vijiji vya ndani kuanzia na pwani
I think hio ni long term, ila mpango wa muda mfupi ni upi?Nadhani huelewi maana halisi ya 'addiction'. Mtu ambaye yupo addicted hayo mawazo kama yako inakuwa magumu kuyapata. Anaweza akawa ana nia lakini nia pekee itafeli. Hawa watu wanahitaji msaada ili watoke kwenye mtego wa addiction. Wanahitaji uangalizi wa hali ya juu, mwenyewe hawezi.
Na njia kuu ya kuwasaidia watu kama Ray C na mateja wengine ni kupambana na wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya pamoja na wasambazaji wao.
Ila mana nyengine ya kijijini ni kwa babu na bibi kwa hiyo kama wapo hapo masaki kuna tatizo kwake yeye kusema anakaa kijijini muelewe tu yupo sawa ila mimi babu yupo shinyangaBado nasisitiza labda atakuwa ni ukoo uliohamia Tz na wakapata citizenship by registration maana hata wenye asili ya hapa Mzizima waliokuwa wanaishi pale maeneo ya Kariakoo walisogea vijiji vya ndani kuanzia na pwani
Hapana hiyo ni picha tu haihusiani na hili tukio hahahahaha hapana mkuu sijamchekaMbona picha yako inaonyesha unamcheka mhanga Ray C....