Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

"moto moto penzi lake moto motoo"dah hii ndo hit song kali ya mwisho alioifanya pale kenya
 
Global wanatumia matatizo ya watu kutengeneza kipato so stupid guys

Umeiona hiyo video kwanza?
Ray C mwenyewe anamwambia cameraman kuwa hirushe hiyo video!!
Hapa mjini ndg kila mbuzi hula kwa urefu wa Kamba, utatukana sana.
 
M ntaanza NA maombi...kwavideo niloona tunakazi mbelekubwa kumkomboa kubwasana lakini tusikate yatamaa..wenye instagram mnaweza search globapublishers AMA obbytheng mtamwona anavyochopolewa NA poliisi usiku mawindoni
Kuna watu walemavu kwa ajali,kuzaliwa na wengine yatima na familia masikini kabisaaaa. Tuwasaidie hao ambao hawajajiyakia ila huyo alienda mwenyewe kwa pusha apewe kijiti so aachwe ili wengine wajifunze kupitia kwake.

Pia alisaidiwa na mh mstaafu but huenda hakuonesha ushilokiano. Ni bora nimsaidie kikongwe na wengine wenye mazingira sawa na hayo but sio huyo ndugu.
 
Kwanza inabidi ajisaidie kwanza yeye ndy atasaidiwa
 
Nadhani huelewi maana halisi ya 'addiction'. Mtu ambaye yupo addicted hayo mawazo kama yako inakuwa magumu kuyapata. Anaweza akawa ana nia lakini nia pekee itafeli. Hawa watu wanahitaji msaada ili watoke kwenye mtego wa addiction. Wanahitaji uangalizi wa hali ya juu, mwenyewe hawezi.
Na njia kuu ya kuwasaidia watu kama Ray C na mateja wengine ni kupambana na wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya pamoja na wasambazaji wao.
Nani aliwatuma kutumia hayo madawa???
 
Noma sana. Nilikuwaga na crush kwa huyu manzi enzi hiyo bado niko chalii hivi. Lord Eyes hii dhambi inakuhusu arif.

I
 
Mimi sina cha kumsaidia kwa sasa ila yeye ndio amenisaidia kutambua kuwa mziki wa kidunia ni kazi ya laaana! Wanamziki wengi wameanza vizuri ila wameishia pabaya sana...
 
Ahida atujajua katiyamume NA mke ndioomaana wanateseka sana..nawanaume washajua dawayakumpata mwanamke it's wife
 
Kupambana na wafanya biashara wakubwa aise..

Halafu najiuliza hivi akichukuliwa akawekwa selo miaka mitatu akawa anakula menyu safi huku hakuna cha dawa wala nini hatapona??
Mkuu akiwekwa selo na menyu safi atayapata tena hyo ni kumpotezea afe tu maana hakuna namna yeye kama nani abembelezwe hivyo?
 
kikwete alimsaidia kwa mamilioni ya pesa mpaka akapona ,karidia madawa maana yake hata akisaidiwa atayarudia tena....wapi dada ake betty mkwasa??
 
Back
Top Bottom