Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

Nadhani huelewi maana halisi ya 'addiction'. Mtu ambaye yupo addicted hayo mawazo kama yako inakuwa magumu kuyapata. Anaweza akawa ana nia lakini nia pekee itafeli. Hawa watu wanahitaji msaada ili watoke kwenye mtego wa addiction. Wanahitaji uangalizi wa hali ya juu, mwenyewe hawezi.
Na njia kuu ya kuwasaidia watu kama Ray C na mateja wengine ni kupambana na wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya pamoja na wasambazaji wao.

Ray C ni kati ya mateja waliopata msaada wa hali ya juu kabisa hilo halina ubishi,mzee Kikwete alimuweka kwenye mikono salama mpaka akapona kinachoendelea sasa ivi ni upuuzi wake kaamua mwenyewe kujimaliza hakuna huruma kwa mtu kama yeye "A mistake repeated more than once is a Decision" simply kaamua kua teja.
Wangapi walikua na addiction wameamua kuacha kila siku iwe Ray C tu au kwa sababu ni celeb ndio awe anahitaji huruma ya wanainchi,ukisubiri hiyo njia yako ya kupambana na drug dealers itakuchua milele maana haiwezekani mpaka hapo ina maana ndugu zetu wote watakua wamepotea.
 
Hivi hamna vitu vya msingi vya kumuomba Mungu?
hakuna jambo jema mbele za Mungu kama kuwaombea waliopotea njia na kufanya mambo yasio na utukufu wa Mungu.

Hakuna binadamu mbaya chini ya jua, ila ubaya unaonekana ndani ya mtu, kutokana na kumwacha Mungu na kuandamana na shetani.

Hakuna mtu mbaya kama shetani, hana urafiki na mtu.

Kazi yake ni kuchinja na kuharibu.

Sote kwapa moja bila kujali itikadi za kidini, tumsogeze Mpendwa huyu mbele za Mungu.

Ili kwa uweza wake Ambadilishe Binti huyu.
 
M ntaanza NA maombi...kwavideo niloona tunakazi mbelekubwa kumkomboa kubwasana lakini tusikate yatamaa..wenye instagram mnaweza search globapublishers AMA obbytheng mtamwona anavyochopolewa NA poliisi usiku mawindoni
Global wanatumia matatizo ya watu kutengeneza kipato so stupid guys
 
Back
Top Bottom