Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hahaha ataenda wapi, mmbea na Afrika mashariki na kati. Yupo pamoja na binamu yake Dinazarde na wengine woteeeThanx switie mzima lakini!!@warumi yupo?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha ataenda wapi, mmbea na Afrika mashariki na kati. Yupo pamoja na binamu yake Dinazarde na wengine woteeeThanx switie mzima lakini!!@warumi yupo?!!
Kijijini kwetu ni Masaki na sina ndugu wa kumlilia wote mambo yao ni mazuri.
Hahaha watakuja tu, utawaonaNa@dinazarde@nifah@chege etc miss u mnooo!!
Nadhani huelewi maana halisi ya 'addiction'. Mtu ambaye yupo addicted hayo mawazo kama yako inakuwa magumu kuyapata. Anaweza akawa ana nia lakini nia pekee itafeli. Hawa watu wanahitaji msaada ili watoke kwenye mtego wa addiction. Wanahitaji uangalizi wa hali ya juu, mwenyewe hawezi.
Na njia kuu ya kuwasaidia watu kama Ray C na mateja wengine ni kupambana na wafanyabiashara wakubwa wa madawa ya kulevya pamoja na wasambazaji wao.
Dah!!nlikua napita pita kwa mbaliiiHahaha watakuja tu, utawaona
Mbona picha yako inaonyesha unamcheka mhanga Ray C....Wengine wajifunze kupitia kwake starehe zina mwisho
Ndo urudi rudi tuuuDah!!nlikua napita pita kwa mbaliii
hakuna jambo jema mbele za Mungu kama kuwaombea waliopotea njia na kufanya mambo yasio na utukufu wa Mungu.Hivi hamna vitu vya msingi vya kumuomba Mungu?
We acha ntarudi mamyyytooo!ngoja mambo yakae sawaNdo urudi rudi tuuu
Haya kipenzi, au binamu kale ka mchakato kalifanikiwa?We acha ntarudi mamyyytooo!ngoja mambo yakae sawa
Hahaaaaaaaa!!!!!Haya kipenzi, au binamu kale ka mchakato kalifanikiwa?
Hahaha tuambiane tu kwa kweli, sio kwa kupotea huko. Ukute jina sasa hivi linaanza na ......geniverosHahaaaaaaaa!!!!!
Hahaaaaaa!!!Hanma bwana nimekosa nimerudi skuli mineHahaha tuambiane tu kwa kweli, sio kwa kupotea huko. Ukute jina sasa hivi linaanza na ......geniveros
Aah yote kheri tu binamu, umethubutu. Education is Sexy kwa kweli, piga tu kitabu mpenziHahaaaaaa!!!Hanma bwana nimekosa nimerudi skuli mine
Sure thanx napambana 2020 never giv upAah yote kheri tu binamu, umethubutu. Education is Sexy kwa kweli, piga tu kitabu mpenzi
Amen Amen, Kila la kheriSure thanx napambana 2020 never giv up
Kwa sababu ray c kawa teja!!!siku za mwisho
Global wanatumia matatizo ya watu kutengeneza kipato so stupid guysM ntaanza NA maombi...kwavideo niloona tunakazi mbelekubwa kumkomboa kubwasana lakini tusikate yatamaa..wenye instagram mnaweza search globapublishers AMA obbytheng mtamwona anavyochopolewa NA poliisi usiku mawindoni