Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

Ray c Mungu akupe wepesi...unawaliza wengi[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji3] [emoji24] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
Na waliokuharibu ni watoa zaka na wachangiaji wazuri kwenye nyumba za ibada...pole God is watching....!!! Pole mama Ray C! Mwachie Mungu atakurehemu na kukupigania, nauelewa uchungu wa mzazi kwa mtoto
 
Jamani muombew tuu nasi tunazaa
Umuombee SHETANI?, lijianamke limetia aibu Tanzania yoote,yule Rais wenu wa kucheka cheka alipoteza pesa za wanyonge kumtibu huyo IBILISI,lakini asivyo na haya karudia tena kutumia madawa ,angekuwa na hisani angemuheshimu Kikwete kwa heshima na taadhima,lakini sasa kamdhalilisha Kikwete kwa kurudia umalaya wake,madawa ya kulevya huwa hayaendi peke yake,huwa ni pete na kidole na umalaya wa kulala na wanaume wengi katika masaa machache,huyo hakosi NGOMA.
 
Hayo sio maisha ya kuchaguliwa bali kujichagulia tena akiwa na akili timamu mtu mzima hakuna sababu ya kumfikiria kwani kuna vijana wengi waneharibika kuliko hata huyo RAY C
 
Rehema ni msichana mzuri wa kiislamu aliyepotea njia kwa tamaa za kidunia binafsi alishauriwa aachane na maisha ya kinondoni na badala yake ajenge mbagala wakati huo mbagala kulikuwa polini lakini yeye alichomoa na kung'ang'ania life la kula baga kino. Sasa maisha yamechukua nafasi yake sasa anatangatanga kama stray do.g/ but mimi kama ndugu yako bado nakushauri nafasi bado unayo tena mche Mungu na utapata mume na utaolewa na kutulia katika maisha, ukiteleza hapa tena basi utakuwa umepotea.
 
Inaamaana msaada wa kikwete ni buree amerudi tena huku ila kiukweli ruge Anavyofanya haya ndo matokeo yake
 
Mtu unagushwa na kifo cha mtu unayemfahamu. Mleta uzi anamfahamu Ray C ndiyo maana imemgusa. Hizo hisia zake amefikiri anaweza kushirikisha na wengine.
Kama haikugusi jinsi ilivyomgusa usimwalaumu.
 
Amefikia level mbaya sana mana afya yke nayo sio.....pia mateja na janga la ukimwi ni mtu na ndgu yke akiwa alosto lazma wampige nao.....aisha madinda nae alifikia level hii
 
Hii mambo inasikitisha sana. Jinsi Rehema alivyofikia, kama kuna uwezekano wakina Kalapina na wengineo tujitolee apatikane pale Sober House bagamoyo
 
daa,tutafanyaje sasa maana waathirika wa madawa wapo wengi hata huku mitaani na hawana msaada wowote,ray c umaaurufu unamsaidia hadi akasaidiwa na rais lakin karudia tena madawa.hii inanipa picha kuwa madawa hayawezekani kuacha.
 
amepigwa na jini baya, ni wakupeleka kwenye maombi na sober houses. kigamboni pia ipo, duh! MWENYE ENZI MUNGU amtetee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…