Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Sio rahisi hata kidogo, washirika wake ni tatizo kuu katika ku solve tatizo lake .Mmmh!
inamaana hakuacha tu jamani lol!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio rahisi hata kidogo, washirika wake ni tatizo kuu katika ku solve tatizo lake .Mmmh!
inamaana hakuacha tu jamani lol!
Ni muujiza tu na kwa Rehema za Mwenyezi Mungu ndio vitakavyomuokoa Ray C na si watu au Sober house yoyote. ..ulevi wa madawa ya kulevya ni kitu kingine kabisa ni lethal killer vampire asiye na huruma hata kidogoamepigwa na jini baya, ni wakupeleka kwenye maombi na sober houses. kigamboni pia ipo, duh! MWENYE ENZI MUNGU amtetee!
Ni muujiza tu na kwa Rehema za Mwenyezi Mungu ndio vitakavyomuokoa Ray C na si watu au Sober house yoyote. ..ulevi wa madawa ya kulevya ni kitu kingine kabisa ni lethal killer vampire asiye na huruma hata kidogo
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele barabarani akidai anataka kutekwa.
Ray C akiwa kwenye gari la polisi
=================
More:
Hali ya kiafya ya mwanamuziki mkongwe Rehema Chalamila ‘Ray C, imeonesha kuwa tata kutokana na kile kinachodaiwa kuwa ni matumizi ya madawa ya kulevya jambo lililoleta sintofahamu baada ya video inayozunguka mitandaoni ikionyesha akichukuliwa na Polisi huku akisema kuwa wanamteka.
Habari zinadai kuwa mama yake mzazi amekuwa akikesha kumtafuta mrembo huyo kutokana na kuzama kwenye vijiwe vya mateja wa madawa hayo na kushindwa kuonekana nyumbani kwani kwa siku kadhaa na watu kujitokeza kumsaidia bila mafanikio.
Sambamba na hilo siku za hivi karibuni mwanamuziki Jay Dee, alionekana kuwa naye karibu na kudai kuwa Ray C, anahitaji marafiki wazuri na watu wavumilivu kuweza kumsaidia kwani kumlaumu pekee hakuwezi kumjenga bali ni kumzidi kumharibu kisaikolojia.
Mmoja wa wasanii wa Bongo Movie, Esha Buheti, kupitia mtandao wa kijamii ameweza kueleza jinsi gani alivyoguswa baada ya kumuoa Ray C akiwa chini ya ulinzi wa polisi akiwa hajitambui na kuongea maneno yasiyoeleweka na kudai kuwa awali alijua mrembo huyo anasingiziwa tuu.
Ameandika “Nashindwa hata niongee nini jamani, Ray C leo Kinondoni umenitoa machozi, jamani tufanye kitu tumsaidie Ray C, I mean it jamani siku zote nlikuwa najua anaonewa ila nilichokishuhudia leo nimeumia kutoka moyoni amedhalilika mwanamke mwenzetu, jamani tufanyeje?”
Akaendelea “Nilikua na Kabula, Kinondono kwa wapemba tumefuata chips mara tukasikia mtu anasema me Ray C nataka kuvua nguo, nikajua utani kushuka ni Ray C anasema nishikeni kuna watu wanataka kuniteka, alikuwa na nguvu sana watu kumshika akaanza kuongea vitu havieleweki, akaanza kutafuta kisu ajichome, watu walimzuia sana walishindwa akaanza kugaragara kwenye matope akipiga kelele,”
“Kiukweli nilijikuta nalia mara ikaja gari ya polisi ikambeba ila kwa tabu sana alikua akipiga kelele jamani nisaidieni msiniache kiukweli mpaka Ray C anaondoka na ile gari ya polisi sikujua anapelekwa wapi alikuwa kama mtu alopata kichaa, YARRAB TUNAMSAIDIAJE RAYC?”.
Maisha ya RC sio ya kumbeza hata kidogo yanatufundisha sana kua katika maisha waweza pata janga baya likaharibu maisha yako yote (Kama umewahi fikwa na jambo zito ndio utaelewa)
Ray C nnaemjua wa enzi hizo alikua anamiliki mijengo yake ya maana, alikua na mikoko ya maana, alikua na Botiques nakumbuka moja ilikua hapo Morocco , Lunch anakula steers (enzi izo bab kubwa pale Posta), nilikuaga nafanya Internship kwenye Bank moja apo town Ray C alikua anakuja kufanya transactions za maana (alikua na Account ya usd & Tshs) zina masalio makubwa mno nyinyi acheni kabisa tuombe sana Mungu hatujui kesho tusimseme vibaya huwezi jua
Ray C nakunenea mema Mungu akufungue na kukuweka huru toka kwenye roho Chafu za madawa ya Kulevya
Umeandika kwa ufasaha sanaMaisha ya RC sio ya kumbeza hata kidogo yanatufundisha sana kua katika maisha waweza pata janga baya likaharibu maisha yako yote (Kama umewahi fikwa na jambo zito ndio utaelewa)
Ray C nnaemjua wa enzi hizo alikua anamiliki mijengo yake ya maana, alikua na mikoko ya maana, alikua na Botiques nakumbuka moja ilikua hapo Morocco , Lunch anakula steers (enzi izo bab kubwa pale Posta), nilikuaga nafanya Internship kwenye Bank moja apo town Ray C alikua anakuja kufanya transactions za maana (alikua na Account ya usd & Tshs) zina masalio makubwa mno nyinyi acheni kabisa tuombe sana Mungu hatujui kesho tusimseme vibaya huwezi jua
Ray C nakunenea mema Mungu akufungue na kukuweka huru toka kwenye roho Chafu za madawa ya Kulevya
Sidhani kama ni jini. Ni matokeo ya uchaguzi aliofanya. Life is all about making choices.amepigwa na jini baya, ni wakupeleka kwenye maombi na sober houses. kigamboni pia ipo, duh! MWENYE ENZI MUNGU amtetee!
Sidhani kama ni jini. Ni matokeo ya uchaguzi aliofanya. Life is all about making choices.
Ni muujiza tu na kwa Rehema za Mwenyezi Mungu ndio vitakavyomuokoa Ray C na si watu au Sober house yoyote. ..ulevi wa madawa ya kulevya ni kitu kingine kabisa ni lethal killer vampire asiye na huruma hata kidogo
Mwenye Mungu yupi? Mungu ana mambo kibao ya kufanya achane na kazi zake aje amtete mla unga? Haupo serious broamepigwa na jini baya, ni wakupeleka kwenye maombi na sober houses. kigamboni pia ipo, duh! MWENYE ENZI MUNGU amtetee!
Mwenye Mungu yupi? Mungu ana mambo kibao ya kufanya achane na kazi zake aje amtete mla unga? Haupo serious bro
Teh Teh nimecheka sana....Mwenye Mungu yupi? Mungu ana mambo kibao ya kufanya achane na kazi zake aje amtete mla unga? Haupo serious bro
![]()
Msanii wa muziki Rehema Chalamila aka Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kupiga makelele barabarani akidai anataka kutekwa.
Muimbaji huyo mahiri ambaye ameathirika na Matumizi ya madawa ya kulevya, alidaiwa kufika katika eneo hilo na kuomba msaada lakini baadae aliomba kisu ili ajichome huku akiongea vitu visivyoeleweka.
Mmoja kati ya mashuhuda wa tukio hilo ambaye ni msanii wa filamu, Esha Buheti kupitia instagram yake aliandika ujumbe huu:
Nashindwa hata niongee nini jamani, rayc Leo kinondoni umenitoa machozi, jamani tufanye kitu tumsaidie rayc, I mean it jamani siku zote nlikua najua anaonewa ila nlichokishuhudia leoo nimeumiaa kutoka moyoni amedhalilika mwanamke mwenzetu, jamani tufanyeje? .
Nilikuwa na Kabula Kinondoni kwa wapemba tumefata chips mara tukaskia mtu anasema me Rayc nataka kuvua nguoo, nikajua utani kushuka ni Ray C anasema nishikeni kuna watu wanataka kuniteka, alikua na nguvu sana watu kamshika akaanza kuongea vitu havieleweki, akaanza kutafta kisu ajichome, watu walimzuia sana walishindwa akaaanza kugaragara kwenye matope akipiga KELELE kiukweli nilijikuta nalia mara ikaja gari YA polisi ikambeba ila kwa tabu sanaa alikua akipiga kelele jamani nisaidieni msiniache kiukweli mpk rayc anaondoka na ile gari yapolisi sikujua anapelekwa wapi alikua kama mtu alopata kichaa, YARRAB TUNAMSAIDIAJE RAYC?
Baada ya ujumbe huo, aliamua kupost video tena na kuandika:
Ray C hastahili haya jamani kweli Leo hii anafikia hatua hii? Najua hajitambui ila tumfikirie mwanamke mwenzetu ambae ni mamaake, anajiskiaje? Rayc nn kimekupata ? Hiii video inasambaa kila sehem kweli huyu ndo RAYC AMBAE NI NEMBO YA TAIFA?
Plz tumsaidie manake tusimhukumu? MBONA sisi kila siku mungu tunamkosea na hesabu makosa yetu? We need to do something jamani @tzshaderoom @mangekimambi_ @divathebawse @babutale @ @mwanafa @linexsundaymjeda @paulmakonda naomba tumstiri huyu mtu plz plz @lisa_fickenscher ( tunafanyaje kumsaidia jamani tusichoke me natamani aende rehab mwaka mzima) Leo rayc umedhalilika najua haikua akili yako mama DAAAAH hata sijui amepelekwa wapi maskini atakua amelala wapi?
Vipi kuhusu kesho Yake? Mamaake anajiskiaje? Inaumaa jamani tusikubali kumpoteza huyu dada nawaombaa tusaidiane @millardayo @rayc1982 my love kama hauko sawa jamani ongea na watz wapo tayari kujitolea kwa hali na mali my love.