Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

amepigwa na jini baya, ni wakupeleka kwenye maombi na sober houses. kigamboni pia ipo, duh! MWENYE ENZI MUNGU amtetee!
Ni muujiza tu na kwa Rehema za Mwenyezi Mungu ndio vitakavyomuokoa Ray C na si watu au Sober house yoyote. ..ulevi wa madawa ya kulevya ni kitu kingine kabisa ni lethal killer vampire asiye na huruma hata kidogo
 
Maisha ya RC sio ya kumbeza hata kidogo yanatufundisha sana kua katika maisha waweza pata janga baya likaharibu maisha yako yote (Kama umewahi fikwa na jambo zito ndio utaelewa)
Ray C nnaemjua wa enzi hizo alikua anamiliki mijengo yake ya maana, alikua na mikoko ya maana, alikua na Botiques nakumbuka moja ilikua hapo Morocco , Lunch anakula steers (enzi izo bab kubwa pale Posta), nilikuaga nafanya Internship kwenye Bank moja apo town Ray C alikua anakuja kufanya transactions za maana (alikua na Account ya usd & Tshs) zina masalio makubwa mno nyinyi acheni kabisa tuombe sana Mungu hatujui kesho tusimseme vibaya huwezi jua
Ray C nakunenea mema Mungu akufungue na kukuweka huru toka kwenye roho Chafu za madawa ya Kulevya
 
M
Ni muujiza tu na kwa Rehema za Mwenyezi Mungu ndio vitakavyomuokoa Ray C na si watu au Sober house yoyote. ..ulevi wa madawa ya kulevya ni kitu kingine kabisa ni lethal killer vampire asiye na huruma hata kidogo

Mkuu msaidie kutoa hilo Jini hata Mimi niliwaza hivyo atakua kapigwa huyo na wanawake wa Ruge
 
Ray C???? bora nikasaidie watu muhimbili, J.K alitoa pesa zake leo maisha ameyachagua kuishi tuhangaike upande wa 2
 
kama janga litokanalo na kutokua na kinga sawa, mf ajali, magonjwa ila sio la ulevi wa dawa za kulevya ambazo ilishakutesa ukasaidiwa bado unarudi unalia lia, sasa hivi tunapeleka hizo pesa hospitalini
 
Umeandika kwa ufasaha sana
 
amepigwa na jini baya, ni wakupeleka kwenye maombi na sober houses. kigamboni pia ipo, duh! MWENYE ENZI MUNGU amtetee!
Sidhani kama ni jini. Ni matokeo ya uchaguzi aliofanya. Life is all about making choices.
 
Sisi wabongo ovyo kweli,Ray c alikuwa amepiga pombe zake na zimefika kunako halafu tunakuja hapa na kuandika mambo ya madawa ya kulevya!...... Yaani kila kitu tunakibadilisha kuwa udaku!
 
Mambo mengine nikujitafutia.
Si alisaidiwa na rais mstaafu kuacha madawa.
Kama alirudia tena hiyo ni kujitafutia.
 
Oooiii atajua yeye buana! Siwezi igiza nalia ujinga! Nina ndugu wana shida kuliko hata huyo aliye amua kuwa teja,,,,
 
Sidhani kama ni jini. Ni matokeo ya uchaguzi aliofanya. Life is all about making choices.

trust me! anapelekeshwa huyo hajitambui kabisa! na akibarikiwa akipona, atabaki kusema 'what was I thinking?'
 
Ni muujiza tu na kwa Rehema za Mwenyezi Mungu ndio vitakavyomuokoa Ray C na si watu au Sober house yoyote. ..ulevi wa madawa ya kulevya ni kitu kingine kabisa ni lethal killer vampire asiye na huruma hata kidogo

kanisani, msikitini au sober house zitamsaidia kukaa karibu na watu wenye kaliba nyingine... na ni kweli maneno yako!
 
Kuna watanzania wengine wanahitaji msaada pia huyo Ray c ni ujinga wake mtu mpaka rais wa awamu ya nne alijitolea kumtibia mpaka akapona tena bado anarudia tena!
 
Kuacha madawa unataka muhusika mwenyewe aamue. Ray C bado hajaamua. Msaada aliopewa na rais haukuwa sahihi, kwani kuna wataalam walisema ile dawa aliyokuwa anakunywa nayo ni ulevi, ndo mana kuna siku alikosa dawa tulimuona alivyolia kuwa mwili unamuuma. Kuacha dawa za kulevya ni kwenda sober house tu ambako utaacha bila kunywa dawa yoyote, Bali kwa ushauri nasaha. Chid Benz huyo kaiset akili kwamba sitaki tena madawa. Tunamuona sasa hivi maendeleo yake ni mazuri sana kutokana na watu anaoongozana nao hakuna anayeweza kumshawishi huo upuuzi pale WCB. So Ray C, kampany hana, marafiki wema wamemtenga, badala yake ameendelea kuambatana na mateja wenzake,akijidangaya awashauri waache unga huku anawaonjea.
 
amepigwa na jini baya, ni wakupeleka kwenye maombi na sober houses. kigamboni pia ipo, duh! MWENYE ENZI MUNGU amtetee!
Mwenye Mungu yupi? Mungu ana mambo kibao ya kufanya achane na kazi zake aje amtete mla unga? Haupo serious bro
 
kumbe Ray C nae ni nembo ya Taifa duh..... wabongo movie empty kabisa alafu analalamika mwanamke mwenzie kudhalilika na bado na yeye anapost tena io video kuendelea kumdhalilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…