Msanii Ray C azidiwa na Madawa ya Kulevya; asaidiwa na Polisi

wamwache aendelee kutumia hayo madawa, tuwe positive wakati mwingine
 
kila kiumbe kina thamani mbele ya macho ya MUNGU
Mungu alimtuma Rais mstaafu Mh Jakaya Kikwete amsaidie ila yeye mwenyewe ray c kakaidi ku stop kutumia unga unataka yeye tena aje kwa njia ipi amsaidie? Kuna watu kibao wakuwaombea watoto yatima, nchi zenye vita, etc.. etc... Ila siyo huyu mla unga alisha bebwa sana ila abebeki!!
 
kila kiumbe kina thamani mbele ya macho ya MUNGU
Mungu alimtuma Rais mstaafu Mh Jakaya Kikwete amsaidie ila yeye mwenyewe ray c kakaidi ku stop kutumia unga unataka yeye tena aje kwa njia ipi amsaidie? Kuna watu kibao wakuwaombea watoto yatima, nchi zenye vita, etc.. etc... Ila siyo huyu mla unga alisha bebwa sana ila abebeki!!
 
Leo mnamkana Rehema mnamsukumia waislam binaadam wabaya nyie
 

Ni mapema mno kusema Chid hatorudia zama zake hata kama angekuwa kazungukwa na malaika.

Addiction ni kitu kingine kabisa Mkuu siyo rahisi kama unavyodhani si methadone wala sober houses bali vita inayohitaji uthubutu wa mtu mwenyewe tena wa hali ya juu.

Tumpe muda at least mwaka.
 
za leo ndugu.
jaman nimemwona huyu dada kwenye video flan akipakiwa na gari ya polisi kwa kweli kwa nilivyomfahamu nimekuta nikisononeka sana moyoni. yan naumia sana jaman yule mchuchu kawa hivi kweli, na ulaaniwe unga ntakua namwombea huyu mdada japo aache maana anakoelekea sio kuzuri na yeye alikua keshaacha pongezi kwa Rais kikwete kwa msaada wake kwa huyu dada. Mungu amponye.
sasa wataalamu, wanasaiolojia na madaktari kwanini tuu msimpatie tiba aache kabisa. mjue naumia sana. ni mrembo na mauno malaini na nyimbo zake ni tamu sana mfano mahaba ya dhati, uko wap, unasemaje n.k Mungu walinde watu wako pamoja na wasanii wengine waache.
 

Attachments

  • wp_ss_20160618_0039 (2).png
    102.9 KB · Views: 48
Hayo ni maisha yake ni vizuri tuheshimu maamuzi yake na maisha aliyochagua.
 
Hayo ni maisha yake ni vizuri tuheshimu maamuzi yake na maisha aliyochagua.
 
Kama rais wa nchi amemtoa huko na akaudi mwenyewe...anatakiwa afe sasa awe mfano kwa jamii
 
Basata iingilie kati kumuokoa Ray C aka Kiuno bila mfupa
 
Sio yeye tu hata chidi sidhani kama ataacha kifupi madawa yanapoingia kwenye mmoja wa familia ni yenu ni msiba tayari utawaumiza mpaka siku huyo mtu anapoondoka .najua ray c angependa kuacha ila sidhani kabisa na pengine naamini kabisa kuwa hataacha mpaka mauti inauma ila ndio ukweli labda kama akiamua kuchukua njia ya dini itamsaidia kwa maana ya kuwa na mfumo mpya kabisa wa maisha ikiwemo marafiki na maeneo ya kuishi na kutembelea nje ya hapo no way out
 
Sawa na chidi kifupi ni kwamba anaendelea kuvuta na ndio maana katoka kule na kuja kuendelea na kampani ile ile so ni swala la mda tu ataomba msaada tena.
 

Ni kweli kabisa kila mtu na atende kadri nafsi yake inavyomtuma
 
Songstress Ray C born Rehema Chalamila has been sent back to a rehabilitation centre in Bagamoyo, Dar es Salaam just days after she was rescued by police from a suicide attempt.

According to Tanzanian news outlet Bongo5, the singer was on the night of Thursday June 16, 2016 picked up by police on Dar es Salaam streets after she started yelling saying she will strip naked, asking for a knife to stab herself.

She is rumored to have fallen back to drug addiction with reports showing she was high on drugs during the incident.
This move comes days after a heartbreaking video circulated online showing the singer being escorted in a police van shouting and blubbering unclear words.


Following the incident Ray C was taken to Sober House Rehab Center in Bagamoyo, Dar es Salaam with hopes of making full recovery.


SOURCE;;; tuko.co.ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…